Monday 27 January 2014

PUNGUZA GHARAMA ZA UMEME KWA KUTUMIA JIKO LA GAS,MTOKA GAS SUPPLIES WAPO HAMUGEMBE BUKOBA KWA AJILI YAKO

 Bw Ibra Meneja wa Mtoka Gas Supplies akiwa na mwanalibeneke wa jamcobukoba.blogspot.com aliemtembelea dukani kwake
 Yapo majiko mbalimbali kwa gharama nafuu,Gharama unazotumia kwa kununua mkaa na kuni kwa mwezi ni kubwa sana ukilinganisha matumizi ya  Gas
 Hili ni jiko la Gas(GEEPAS LOW CONSUPTION) LINAHIFADHI GAS NA KUTUMIA GAS KIDOGO SANA,
 Bw Jamco akiwa ameelewa somo na kuchukua jiko kwa ajili ya matumizi ya nyumbani
 Bw Ibra akiwa dukani kwake
Ni jiko linalotumia Gas na Umeme tembelea Mtoka Gas Supplies walioko Hamugembe mkabala na ofisi za Mohamed Trans

No comments:

Post a Comment