Monday 1 July 2013

MAONYESHO YA SABASABA KATIKA VIWANJA VYA JENGO LA CCM MANISPAA YA BUKOBA YAENDELEA VIZURI.MAKAMPUNI KUTOKA NJE YA NCHI NA NDAN YA NCHI WAMELETA BIDHAA ZAO





 Mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya KAIDEP (kusoto) ambao ndio waandaji wa maonyesho haya ya sabasaba ndugu Deo akiwa na mh Revina jovin mwnyekiti wa wanawake mkoa wa kagera ccm na mh Deus mtakyawa diwani wa kata ya nyanga
                                         ndugu Filimon akiwa katika maonyesho ya sabasaba

                                     Hili ni jengo la ccm ambalo maonyesho ya sabasaba yanafanyika
                                 ni mabanda ya vodacom nao wapo katika maonyesho ya  sabasaba
                                             mambo ya gas yanapatikana katika maonyesho
 je unajari mazingira na uharibiwa wa misitu yetu,basi fika sabasaba bukoba upate jiko kwa bei poa.


                                                                            majiko ya gas
                                             karibu kwenye banda la LP gas
s
                                                                                  mafuta ya kula
                                                                      banda la azam
                                                                    banda la movit



                            hawa ni watangazaji wa bidhaa za movit kutoka nchini uganda

                                  pilika za hapa na pale katika maonyesho ya sabasaba bukoba


                       banda la kasibante redio nalo lipo ,zinapatikana kadi za salamu kwa bei nafuu
                                                                     urmbo wa kila aina utapata
 madawa mbalimbali ya asili na ile ya kuongeza nguvu za kiume inapatikana japo kimauzo ndio inaongoza
kuna vitu vizuri sana ambavyo vimeletwa na wajasiriamali kutoka maeneo tofauti ndani ya nchi na nje ya nchi

No comments:

Post a Comment