wanafunzi leoleo wa pre school wakiwa mbele ya shule yao
Yawezekana siku za nyuma LEOLEO PRE SCHOOL lilikuwa jina geni masikioni mwa watu wengi,Lakini yapata miezi minne na siku kadhaa sasa tangu ianzishwe watu wengi wameijua. Leo leo pre school ni shule ya masoma hawali ya watoto kati ya miaka mitano na sita , iko maeneo ya barabara barabara iendayo maruku karibu na hoteli ya kolping. Leo leo pre school inamuandaa mtoto kwa kumpa elimu bora kulingana na matakwa ya karne ya ishirini na moja.
watoto muda wote wanaonekana wakiwa na furaha,ina mazingira mazuri ya kumfanya mtoto apende kusoma
mkurugenzi wa Leoleo pre school ,akiwa katika shughuli mbalimbali shuleni
swala la usafiri si tatizo ,wanafunzi wote wanapitiwa katika vituo maalumu vilivyopangwa
shule ya hawali ya leoleo (CHEKECHEA)_ipo barabara ya maruku karibu na kolpingi hotel
Ina walimu makini ambao muda wote wanafuata ratiba kulingana na matakwa ya uongozi
swala la michezo ni muhimu sana kwa watoto
muda wote watoto wako katika usalama
mlete mwanao leoleo pre school kwa elimu bora,unaona watoto walivyo na furaha muda wote
Ili mtoto aweze kuelewa anachofundishwa vizuri zaidi,kila darasa lina idadi ya watoto 20 ,na kila meza wanakaa watoto wanne.
watoto upata uji wakati wa asubuhi shuleni na chakula cha mchana
mwonekano wa darasa wakiwa na mwalimu wao
swala la mtoto kuanza kutumia computer leoleo preschool si la kuuliza ni la msingi
watoto wa leoleo pre school wanabofya ,
mkurugenzi wa shule anaonekana akifuatilia watoto jinsi wanavyotumia computer
hupo muda wa kujifunza kwa kuangalia tv,yote haya ni leoleo pre school
watoto wapo makini kuangalia somo linafundishwa kwa njia ya tv
karibu leoleo pre school, mlete mwanao apate elimu bora gharama ni nafuu
Nafurahi sana kuona hata kwetu kunakuwa na shule nyingi na za kisasa.Congraturation!!!!!
ReplyDeleteshule nzuri sana hii, naweza kutestify mwanangu anafurahia sana na anapenda kwenda shule! Congratulations Leoleo Pre school mnajitahidi na mwanzo mzuri sana na watoto wana afya hata sijutii pesa yangu kumleta mwanangu hapo!
ReplyDelete