Wednesday 15 May 2013

HAMID ALLY MOHAMED NOORANI ASIMAMA KIZIMBANI KWA TUHUMA YA WIZI WA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 529.5

 ndugu Hamid Ally Noorani akiwa kafungwa pingu anaonekana chini ya ulinzi mkali anafikishwa maeneo ya mahakama kuu Bukoba
 Si rahisi kuziona pingu,ni mtuhumiwa wa wizi wa zaidi ya shilingi milioni 529.5,mtuhumiwa alikuwa ni mfanyakazi wa kituo cha mafuta cha Aboos kinachomilikiwa na mfanyabiasha wa siku nyingi mwenye asili ya eshia ndugu Raza fadhal,mtuhumiwa alipelekwa rumande mpaka 23-5-2013 baada ya kushindwa masharti ya dhamana .Alitakiwa kuwa na kiasi cha shilingi milioni 250 na Mali zisizohamishika kama nyumba nk zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 250. Mtuhumiwa alipelekwa rumande kwa kushindwa kukidhi masharti ya dhamana..

 chini ya ulinzi mkali mtuhumiwa anapelekwa kizimbani
Angalia jamcobk.blogspot.com  kwa habari za uhakika au piga simu 0754-757157.0714-707027 au 0788707027

No comments:

Post a Comment