Friday 13 February 2015

ALMACHIUS KIRAJA NA NEEMA MACHUME WAFUNGA PINGU ZA MAISHA.

 Ni wakati wa Bw Almachius Kiraja na Bi Neema Machume mbele ya waumini na watu mbalimbali walioudhulia ibada takatifu ya ndoa katika kanisa katoliki Cathedral Bukoba Manispaa wakiwe weka mkataba wa maisha katika maisha ya ndoa, katika raha na shida.
 Fr Deo akiwafungisha ndo takatifu.
 Ni pete baada ya kila mmoja kukubari kuwa na mwenzake.
 Kulia ni Bw Peter Matete shaidi wa ndoa akishuhudia vyeti vikisainiwa.
 Kushoto ni Mama Mzazi wa Bw Harusi.
 Wazazi wa Bi harusi.
 Bw Rahym akimpongeza Bw Kiraja.
 Ni busu nikubusu tuonyeshe ishara ya upendo.
 Kaka wa Bw Harusi na familia yake.

Tutaendelea kuwaletea matukio mengine.

Wednesday 11 February 2015

HAPA NA PALE BUKOBA MANISPAA,USIKOSE KUANGALIA.

 Ni vijana wa eneo la tax soko kuu Bukoba maeneo ya senene,Bw Denis akiwa na Arnod Tax drive.
 Mmoja ya hazina kubwa ya Jamcobarber shop,mtaalam wa scrub na kutengenezwa na kung'arishwa, ila hana simu.
 Ni mitaro inayoendelea kuchimbwa maeneo mengi katika Manispaa ya Bukoba kwa ajiri ya kupitisha mabomba ya maji.
 Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni inayounganisha mtandao mpya wa maji.
 Baada ya muda mfupi Manispaa ya Bukoba katika kata zote 14 wananchi watakuwa wakipata huduma ya maji ya uhakika ya bomba mpaka migombani.
 Kijana yuko smart katika harakati za maisha.
 Kila mmoja katika kibarua chake, asubuhi na mapema.
 Bw Mushamu akiwajibika.
 Wateja wakisubiri huduma kwa Bw Mushamu.
 Ni kijiwe cha senene,hapa ni mjadala wa siasa, anaweza , hawezi,,,,kipenga karibu kitapulizwa.
 Mmmmm ungesikia maongezi ya hawa jamaaa, dah 

 Kijana akiwajibika,kunywa maji ya Kabanga.
 Pande za barabara ya Jamuhuri.
 Wakala na muuzaji mkubwa wa maji Kabanga Bw Abasi Bandali akiwa dukani barabara ya Jamuhuri, utajibatia maji kwa bei ya jumla.
 Kijana kazini, kutana nae baada ya kazi  sasa,mmmmm
 Bw Hassan TRA akiwa kitaa.
 Kanisa la Cathedral.
 Jengo la NSSF BUKOBA.
 Katibu msaidizi wa ccm Mkoa Kagera akiwa ofisini.
Bw Didas Zimbihele,akiwa na Balozi Kagasheki na Bw shafi.