Friday 10 August 2018

NIKKAH YA SAJIDU SADICK & FAIDHAT ABDUMARICK, BABA (ABDULMARICK)ATOA ZAWADI MILIONI 15 NA NYUMBA KWA WANAE.

Ni moja ya harusi kubwa zilizowahi kufanyika katika kijiji cha Ibwera, Ilikuwa ni shangwe , furaha , vifijo na nderemo pale Sajidu na  Faidhat walipofunga pingu za maisha, Mbali na ubora wa mpangilio wa mambo kadha wakadha yalivyopangiliwa  umati mkubwa wa watu aliofika  kushuhudia tukio  la kihistoria Baba mzazi wa binti Bw Abdulmarick alitoa zawadi ya milioni kumi na tano na nyumba kwa wanae.





Bw Abdulmarick akiwa na furaha.




Shekhe wa Mkoa Kagera Haruna Kichwabuta akiwasili eneo la tukio.
Shekhe Haruna Kichwabuta akitoa neno.
Matukio yanaendelea.....