Friday 13 January 2017

JUDY JUSTIN LAMBERT ATOLEWA MAHARI,KUFUNGA NDOA JUMAMOSI 14-1-2017

 Picha inajieleza ni mshenga Bw Kashasha akiwa amekaa kwa unyenyekevu mbele ya wazazi wa Bi Judy Justin Lambert akikamilisha taratibu zote za kimila ili wazazi waweze kutoa baraka za ndoa kufungwa, Bi Judy anatarajia kuandika historia yake mpya katika maisha yake siku ya Jumamosi 14-1-2017 pale atakapo kuwa mbele ya arutale takatifu akitoa ahadi ya ndoa takatifu kwa mme wake mtarajiwa ambae ni  mzambia,  Bi Judy kila rakheri.

 Wazee wakisubiri wakwe kufika.
 Bw Justin Lambert akiwa na mama yake mzazi.
 Bw Othuman(kushoto) akiwa na Bw Justin, baba mzazi wa Judy.
 Kushoto ni Omulangira Lambert akiwa na Ma Aribina mke wake, na mwisho ni O mulangira Sunday.
 Mshenga.
 Mshenga ,anatafuta mke.
 Mama Judy.
 Baba na mama Judy katika ubora wao.
 Mambo ya dollar
 orodha ya mahari.
 Bi Judy.
Jamcobukoba.blogspot.com itaendelea kukuletea matukio ya ndoa.