Thursday 29 August 2013

VILIO,MAJONZI NA SIMANZI VYATAWALA KATIKA MAZISHI YA MPENDWA ANNASTAZIA RWEGASIRA KALUMUNA ALIEZIKWA LEO KAMACHUMU RUANDA


                                        Jeneza la marehemu wakati wa misa ya mazishi

                                                                           za mwisho




mchugaji fred rwegasira baba mdogo wa marehemu akitoa shukrani kwa niaba ya mzee rwegasira na mama ambao hawakuweza kufika kwenye mazishi ya kumzika mtoto wao wanaumwa wako kwenye matibabu

                                                                          mapadri wakiongoza misa
                                  wazee kutoka kitendaguro anakozaliwa marehemu
                                          mme wa marehemu akieleza kifo cha mkewe
                    watoto pekee wawili alioacha marehemu wakiweka shada la maua







                                        ndugu wakiaga,vilio na majonzi vilitawala

                                   mdogo wa marehemu akimuaga kwa uchungu dada yake
                                   watoto wa marehemu wakisindikizwa kumuaga mama yao

                                          pumzika kwa amani, tulikupenda mungu amekupenda zaidi

Wednesday 28 August 2013

WAREMBO WA MISS TANZANIA WAKIWA GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL


 Washiriki wa shindano la Redd's wakiwasikiliza wadhamini wao

 Mdhamini mkuu wa kinywaji cha Redss miss Tanzania akizungumza na warembo wakiwa kambini siku ya vyombo vya habari ambapo warembo hao walipata fursa ya kuzungumza na waandishi wa habari katika hotely ya Giraff jijini Dar es Saalam
Mshiriki wa shindano la Redd's miss Tanzania akiwakilisha Tabata akiuliza swali kwa wadhamini wa shindano hilo

BONDIA PHIL WILLIAMS ATUA DAR

Bondia Phil Williams wa Marekani baada ya kuwasili nchini.
Bondia Phil Williams wa Marekani akiwa na mkanda wake wa ubingwa wa WBU.
Mdau wa michezo nchini Saidi Kindeka (kushoto) akiwa na bondia Phil Williams wa Marekani.
Bondia Phil Williams wa Marekani akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa mchezo huo kushoto ni promota Jay Msangi kulia ni Kocha wa kimataifa wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila 'Super D wengine ni wadau waliokuja kumlaki uwanja wa ndege baada ya kutua usiku huu.
Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' (kulia) akiwa na bondia Phil Williams wa Marekani baada ya kutua nchini kwa ajili ya mpambano wake na Francis Cheka utakaofanyika Agosti 30, Ijumaa hii katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.