Sunday 16 August 2015

CCM MANISPAA YA BUKOBA WATAMBULISHA WAGOMBEA,KAGASHEKI ASEMA CCM ITASHINDA.

 Chama cha mapinduzi Bukoba mjini kimetambulisha mgombea ubunge na wagombea udiwani katika kata 14 za jimbo la Bukoba mjini,(Katika picha ni mojawapo ya eneo la wapenzi wa ccm wakiitikia vibwagizo.)
 Ni baadhi ya timu ya ushindi wa wagombea udiwani.
 Wakielekea ofisi ya Manispaa kwa msimamizi wa tume ya uchaguzi jimbo la Bukoba mjini.
 Balozi Kagasheki akipokea fomu ya serikali kugombea ubung
 Msaidizi wa Balozi Kagasheki Bw Jumanne Bingwa akiteta kitu.

 Balozi alipowasili uwanja wa uhuru platform ilikuwa kitim timu.
 Baadhi ya wagombea ubunge ambao kura hazikutosha wakishukuru wanaccm.

 Mgombea udiwani kata Ijuganyondo Kamala akiwa kabebwa na wapenzi wa ccm baada ya kutangazwa rasmi kama mgombea.

 Mgombea ubunge Balozi Kagasheki akieleza kuwa ccm kuanzia rais, ubunge na madiwani wote katika jimbo la Bukoba mjini watashinda kwa kishindo.
 Katibu wa ccm mkoa Bw Ami akiwakabidhi wagombea udiwani fomu, na huyu ndio mgombea udiwani kata ya Kitendaguro.
 Bw Smart Baitan mgombea udiwani kata Kagondo akipokea fomu.
 Wa kwanza kulia Bw Sued Kagasheki mgombea udiwani kata Rwamishenye.