Monday 12 March 2018

MAMIA WAMZIKA MAREHEMU EDNA KOKUSHUBILA FABIAN, BUKWALE KANYIGO.

NI SIKU AMBAYO NI NGUMU KUSAHAULIKA,MME WA MAREHEMU Bw Fabian, watoto wa marehemu , ndugu , jamaa na marafiki kwa kumpoteza mpendwa wao Edna Kokushubila Fabian.

Watoto wa marehemu
Kulia Bw Protas Ishengoma akiwa na Mc wa shughuli ya mazishi wakiweka ratiba a.saw
Ndugu wakiendelea kuwasili msibani.
Machungu.
Waombolezaji wakimpa mkono wa pole Bw Fabian mme wa marehemu.

PICHA YA MAREHEMU
Mwakilishi wa ofisi ya TRA Mwanza akitoa salamu za rambirambi

Bw Rutta Vijisenti akitoa salamu kwa niaba yakikundi cha umoja ni nguvu.
Bw Partage akitoa salamu za rambirambi.
Bw Protas Ishengoma akitoa neno kwa niaba ya familia.
Mjomba akitoa shukrani kwa niaba ya familia.