Sunday 17 September 2017

Mama Hamida Musa hivi karibuni amestaafu utumishi wa umma katika idara ya Mahakama, ndugu ,jamaa na marafiki  walikusanyika katika ukumbi wa Linas Bukoba mjini na kushiriki hafla ya kumuaga na kumtakia afya njema na maisha mapya ya kustaafu( Katika picha kushoto mstaafu akitoa neno la shukrani)
Mc wa shughuli.
Waalikwa.