Ni Bi Gissela akionekana mwenye furaha akiwa na chaguo lake mara baada ya kuvishwa pete na kutolewa mahari na hatimae tarehe ya ndoa kuwekwa hadharani, Ilikuwa ni hafla ya aina yake iliyofanyika nyumbani kwa bi harusi mtarajiwa Kanyigo, shangwe, vifijo , nderemo vilisikika na kutawala mara pale Bi Gissela aliposimama mbele ya kadamnasi iliyohudhuria na kutamka bila wogo na kujiamini kumtambulisha Bw Amani kuwa ndio chagua lake.Hakika wanapendeza , wanafanana na kikubwa wanaendana.
Ni wageni waliotoka Bukoba mjini kushuhudia tukio.
Mambo ya mira na desturi za muhaya.
Kulia ni Mzee Pius Ngeze Baba mdogo wa Bw Harusi mtarajiwa.
MAMBO YA MAHARI HAYO.
wAITU MWAYUKAYO OMURUGENDO, kARIBUNI POLENI NA SAFARI.
Salamu kwa wazee.
Orodha ya vitu husika ikisomwa na kukabidhi.
Mama mkubwa wa bi harusi mtarajiwa akabeba entukulu yenye kila kitu muhimu.
Akamwani baada ya kupokelewa mahari ya binti.
Wakati wa chakula.
Mama na mwana,
Ukafika wakati muafaka mambo yakaweklwa hadharani.
Asante gissela hakika ndoto yangu leo imetimia mungu atuongoze siku ya siku ifike.
Kitu kikiwa mahara pake,wadada wengi sana wanatamani hii siku.
Tabasamu baada ya kuvishwa pete.
Chearssss
Mzee maata sana nae akigonga chears muda wote alikuwa akichukua matukio.
Picha ya pamoja,
Hakika wanaendana.
Mama na mwana, wakiwa na bi enjoy, ilikuwa ni shidaaa, hongera Bi Lucy.
Wednesday, 8 April 2015
CHIPUKIZI FC YA ISHOZI YATWAA UBINGWA WA MSAFIRI MATELEPHONE CUP,JULIUS RUGEMALIRA MGENI RASMI.
Wa kwanza kulia Bw Msafiri Matelephone wa Ishozi muandaaji wa mashindano akiwa na mgeni rasmi Bw Julius Rugemalira ,Mashindano haya yalijumuisha timu mbalimbali za mpira wa miguu,timu ya wazee mpira wa miguu, mashindano ya kukimbia mita mia moja kwa wazee, wanawake na vijana,zawadi za zaidi ya milioni moja na nusu zilitolewa na mgeni rasmi kwa washindi mbalimbali.Mgeni rasmi Bw Julius Rugemalira alitoa zawadi za washindi katika michezo yote kiasi cha zaidi ya milioni moja na nusu, katika hotuba yake amesisitiza upendo na ushirikiano na watu kuwa na tabia ya kushiriki michezo kwa watu kufurahi na kujenga afya.
Mgeni rasmi akisalimiana na mmoja wa washindi katika mita mia moja Bw Faustine Kagonzi akikabidhiwa zawadi.
Bi Jamida swalehe mshindi wa mbio mita mia moja kwa upande wa wanawake.
Mgeni rasmi katika picha ya pamoja na timu ya wachezaji wa timu yawazee,
Ilikuwa burudani kweli , mzee akikata mbuga akiwa peku,.
Hapana chezea mzee Yasini akimzibiti adui na ndio alikuwa nyota wa mchezo aliifungia timu yake bao moja.
Kikosi kamili cha Ishunju Fc washindi wa pili.
Ishunju Fc na mgeni rasmi na viongozi mbalimbali katika picha.
Chipukizi Fc mabingwa wa kombe la Msafiri Matelephone cup Ishozi 2015, walijinyakulia zawadi ya 600,000 cash kutoka kwa Bw Julias Rugemalira.
Bw Edison Mtalemwa akisisitiza kitu.
Wapenzi wa soka wakifuatilia soka.
Mashabiki wa chipukizi Fc wakishangilia goli.
Endelea kufuatilia jamcobukoba.blogspot.com

Subscribe to:
Posts (Atom)