Saturday 7 September 2013

usiku wa Saida Wafana Bukoba!

Tamasha la Mwanamuziki mkongwe wa nyimbo za asili nchini Saida Karoli limefana usiku huu kwenye ukumbu wa Lina's Night Club Bukoba. Tamasha lililokuwa linaitwa "usiku wa Saida Kaoli" huku watu wengi wakijitokeza kumuona kwa mara ntingine hapa Bukoba Tangu azushiwe na wadau kwamba alifariki Dunia katika ajali ya boti miezi michache iliyopita habari iliyokuwa ya uzushi mtupu na ya uhongo. Leo hii jumamosi akiwa amesindikizwa na wasanii wa hapa Nyumbani Bukoba Bk Sande, Papaa Kishaju, wanamuziki wa VISION MUSIC AMBASSADOR wanaodhaminiwa na 100.0 Vision fm Radio BUKOBA na Kundi la Ka Jay Poda kutoka Kenya wameusindikiza usiku wa SAIDA KAROLI vilivyo na kukamua kisawasawa kwenye ukumbi LINA'S usiku huu.
Saida Karoli akiimba baadhi ya nyimbo zake mpya
Willy Kiroyera kulia akicheza na Saida Karoli
Saida karoli mizuka ikimpanda
Baadhi ya wageni rasmi meza kuu kushoto ni Afisa Utamaduni
Ilifika nafasi ya msanii wa kizazi kipya BK Sande nae akapanda kwenye steji  kuporomosha nyimbo zake kuwaburudisha mashabiki wake ukumbini.
Bk Sande mtoto wa Nyumbani akiendelea kuimba
Bk Sande
Kulia Mkuu wa Chuo cha KCC Bw. Subira  na mkewe wakiburudishwa hapa na wanamuziki wa hapa Nyumbani


Saida na Wanamuziki wake wakiendelea kuimba
Ukumbi ukiburudika vilivyo usiku huu

Saida akiimba

Kweli bado jembe saida!!
Usiku wa Saida na Saida akiutendea haki hapa!!
Baadhi ya wadau waliojitokeza usiku huu
Saida Karoli akiendelea kuburudisha
Kundi ka Ka jay Poda kutoka Kenya likitumbuiza ukumbini
Tanzania safii...Raha ya Nyumbani, angalia na wazungu nao wapo wakiburudishwa.
Kiongozi wa kundi la ka jay poda!! kutoka kenya akikata mauno usiku huu
Kiongozi wa kundi la ka jay poda!! kutoka kenya
Wadau mbalimbali
Bw. Muganyizi
Kulia ni Mgeni Rasmi Afisa Utamaduni na kushoto ni mwandaaji wa Tamasha hili ambaye ni mkuugenzi wa Tivol Studio ya jijini Mwanza.
Wageni Rasmi.

Bw. Willy O Rutta ( Kiroyera) kulia na Bw. Ernest Nyambo wakicheki kisawasawa burudaniDada akibaki mdomo wazi huku akiwa aamini macho yake kwa kile alichoburudishwa kutoka kwa msanii mkongwe Saida Karoli.
Kila mtu hapa alitamani kusimama na kucheza maana nyimbo zenyewe zilihamasisha kucheza
Chezea Saida wewe!!
Usikubali kupitwa na wakati!!!
Dada ilibidi wanyanyuke na wamsogelee Saida huku ngoma ikicharazwa na Saida mwenyewe!!
Wakati ndio huu!!!

Kesho Jumapili Tarehe 8.9.2013 Saida ataendelea kwenye tamasha la pili katika uwanja wa Kaitaba Kiingilio ni Tsh.2500/= tu. Saida Karoli atasindikizwa na Jopo la wasanii lukuki waliowahi kurekodia nyimbo zao ndani ya Tivol Studio wakiwemo wasanii wa nchi Jirani na wa hapa nyumbani Bukoba.
Hapa umefika!!
Ni yeye kweli au!!
Hapa ni nyumbani kukamua lazima!!1
wewe!!eee
Dada akitokelezea kwenye jicho la kamera
Wadau. kulia ni Bw. jamal kurumuna

Friday 6 September 2013

AMWAGIWA TINDIKALI KISA WIVU WA MAPENZI


Blessing baada ya kuharibiwa sura
Cyrill Okusan kijana wa miaka 22 ametajwa kama muhusika wa unyama huu,Tayari ameshafunguliwa mashtaka kwa kosa hili.

Nadhani ni wivu tu wa kimapenzi na roho mbaya ndiyo iliyosababissha yote haya,jamaa akaona wacha nimuharibu reception tuone baada ya mimi kama kuna mtu atakubinyia hata kijicho..mbaya sana! Kina dada kuweni makini na ma-boyfriend wa kukutana nao mitaani bila hata kujua background na tabia ya mtu

HIVI NINI HATIMA YA BUNGE LETU,HII SI NI AIBU



Thursday 5 September 2013

CHEKA ATINGA BUNGENI NA UBINGWA WA WBF



NYOTA WA AIRTEL RISING STARS KWENDA NIGERIA

Waziri Mkuu Mh,Mizengo Pinda wanne kushoto akiwa na bingwa wa dunia wa mchezo wa masumbwi nchini Fransic Cheka baada ya kukaribishwa bungeni mjini Dodoma wengine kushoto Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'  na bingwa wa mabara Fransic Miyeyusho kulia ni promota wa mchezo wa masumbwi nchini Mohamed Bawaziri,  na promota wa mpambano wa ubingwa wa Dunia ambao cheka anao kwa sasa Catherini Matili .
MAJI MAREFU AKIWA NA MABINGWA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI
Mbunge Wa Same Mashariki, Anne Kilango  katikati akiwa  na bingwa wa unia wa wbf fransic Cheka kulia kwake na Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia na wadau wengine wa mchezo wa masumbwi nchini walipotembelea Bunge la Jamuhuri ya Muhungano wa Tanzani.
Baadhi ya wadau wa mchezo wa masumbwi nchini wakiongozwa na Mohamed Bawazir Katikati wakiwa katika picha ya pamoja kabla awajaingia ndani ya bunge kusikiliza bunge la Tanzani Super d Wa nne kulia nae akiungana nao pamoja
Bondia fransic Cheka akiwa na wabunge mbalimbali pamoja na mwanaseria mkuu wa Selikari le alipotembelea bungeni
Waziri wa Wizara ya Habari ,Vijana,utamauni na michezo, Dkt,Fenela Mukangala wa pili kushoto akiwa na Rais wa TPBO Yassini Abdala pamoja na mapromota Mohamedi Bawazir kulia na
Catherini Matili .
Waziri Mkuu Mh,Mizengo Pinda katikati akiwa na mabondia Fransic Miyeyusho kushoto na Fransic Cheka wakati walipo tembelea bungeni Dodoma kwa ajili ya kutambua mchango wao na kuwapon

KIKWETE NA KAGAME CHEKO ZATAWALA LEO


Rais Jakaya Kikwete leo amefanya mazungumzo na Rais Paul Kagame wa Rwanda katika mkutano wa saba wa kimataifa wa nchi za maziwa makuu, unaofanyika Kampala, Uganda.
Haijafahamika mara moja walichozungumza, hizi ni picha za mkutano wao.
9676681299_b3707d20a5_c
9676687273_13e1849eb2_b
9679917620_3f83a214d0_b
Marais hao wamekutana wakati ambapo uhusiano kati ya nchi hizo mbili unaendelea kuzorota.