Ethan akijiandaa kukata keki yake , Ni mtoto wa mkurugenzi wa sheria TFF Evodius Mtawala
Mr & Mrs Evodius Mtawala wqakiwa na mtoto wao ukumbi wa coffee Tree Bukoba
Karibu keki Baba
Karibu keki mama
Lily Ngemela akiandaa chakula
Mzee Mtawala (kulia) akipata chakula
Friday, 27 December 2013
KAGERA C A GROUP KUZINDUA HIVI KARIBUNI FILAMU YAO USIKOSE KUINUNUA(JENEZA LA MAMA)
Mkurugenzi wa Kagera C A Group Onyango( The Hero) amesema wako mbioni kumalizia maandalizi ya Filamu yao JENEZA LA MAMA. Ni Filamu iliyosheheni mambo mazito na yanayoelimisha jamii, filamu hii imechezwa maeneo ya kyaka imeshilikisha na waganda. usiikose.
CAMERA YETU NYUMBANI KWA PROFESA MUTAHABA,ASHEREKEA X-MAS NA SIKU YAKE YA KUZALIWA KIJIJI CHA KABALE KO MUKAMA BUKOBA
Bw na Bi Mutahaba wakifurahia siku ya kuzaliwa ya Prof Mutahaba
Mbaki Mutahaba akiwa na familia yake
Bi Kemi Mutahaba na mwanae
Profesa Mutahaba akikata keki na wajukuu
Babu karibu keki
Wajukuu wakicheza muziki na Babu yao
Anamtafuta number one wake Bw Mbaki Mutahaba
Sakata rumba,chezeeee my number one wewe, hakai mtu.
Jonson Masabara(kulia) akiwa na Ruga Masabara

Thursday, 26 December 2013
NI MAENEO YA MIEMBENI KWA JENI(ENEO HILI KWA BUKOBA HALIKWEPEKI) KWA JENI ...... MIEMBENI
Ben akiwa God Katiti
Bw Tibanga nae akifurahia maisha kwa jeni miembeni
Karibu hapa ndo kwa jeni asikwambie mtu utaona mwenyewe
Ben Mulokozi anasema akija Bukoba bila kufika mitaa hii ni mwiko
Mmoja wa wadada wa maeneo haya ya miembeni akitoa huduma
Mazungumzo yakiendelea
Hapa bw Harison akiwa na jamco akiangalia mtandao wa jamcobukoba.blogspot.com

Subscribe to:
Posts (Atom)