Tuesday 9 January 2018

IBADA YA KUMALIZA MATANGA YA MA YUSTINA KATAIJULA, MARUKU BUKOBA.

Baba Askofu Methodius Kilain, mapadre na mamia ya waumini, ndugu , jamaa na marafiki wameshiriki ibada ya misa takatifu ya kumaliza matanga ya Ma Yustina Kataijula iliyofanyika Maruku, Ibada hiyo iliyongozwa na Baba Askofu Kilain ni ya kumaliza matanga ya mwaka mmoja uliopita tangu Ma Yustina aiage dunia, (Katika picha ni Baba Askofu Kilain akiweka shada la maua akiwa na Bw Deo Rupia.)
Katikati ni miongoni mwa marafiki wa marehemu Yustina akipokewa, alifika kushiriki ibada ya kumaliza matanga.
Picha ya marehemu Ma Yustina Kataijula.
Muonekano wa kaburi la marehemu.
Bw Kashasha.
Zawadi zilizotolewa na familia kwa baba askofu Kilain.
Baba Askofu Kilain akiongoza ibada.
Bw Deo Rupia (kulia) akiwa na baba yake mzazi mzee Rupia.
 Familia ikipeleka shukrani.

 Familia ikipeleka zawadi za shukrani

 Baba askofu Methodius Kilain akibariki kaburi la marehemu.
 Bw Deo Rupia akitoa maelezo kuhusiana na mama anaebaki katika mji wake.
kwaya mbalimbali zilitumbuiza baada ya ibada .