Friday 31 March 2017

MAREHEMU PATRICK PAULO NSHANGE AZIKWA NA MAMIA KIJIJINI KWAKE KILIMILILE KYAKA MISSENYE.

 Mamia ya wananchi kutoka maeneo tofauti wamemiminika kwa wingi na kumzika marehemu Patrick Paulo Nshange katika kijiji cha Kilimilile Kyaka wilaya ya Missenye .
 Picha ya marehemu.
 Kushoto Bw Remigius Patrick akiwa kwenye maandalizi wa kuandaa ratiba ya mazishi ya baba yake.
 Kushoto ni Mc Rutakwa akishauriana kitu na Mrs Remigius.


 Kushoto ni Bw Medard Kaijage mwenyekiti wa kamati ya msiba akiwa na Bw Remigius.
 Wajukuu.
 kABURI.

















 Ungozi wa smart hotel ukitoa rambirambi.
 Marafiki kutoka Dubai na Uganda wakitoa salamu za rambirambi.