Saturday, 22 March 2014

TASWIRA ZA RAIS KIKWETE BAADA YA KUHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOM MACHI 21, 2014


  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozwa na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe Samuel Sitta mara baada ya kulihutibia Bunge hilo Ijumaa  mjini Dodoma Machi 21, 2104
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe Samuel Sitta mara baada ya kulihutibia Bunge hilo Ijumaa  mjini Dodoma Machi 21, 2104
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipewa pongezi kwa hotuba nzuti na Makamu  Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samia  Suluhu Hassan mara baada ya kulihutibia Bunge hilo Ijumaa  mjini Dodoma Machi 21, 2104
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Zanzibar Dkt Mohamed Ali Shein,  Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe Samuel Sitta na Makamu  Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Suluhu Samia Hassan wakifurahia jambo mara baada ya Rais  kulihutibia Bunge hilo Ijumaa  mjini Dodoma Machi 21, 2104
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba

JESHI LA POLISI LAKABIDHIWA LAPTOP NA VIFAA VYA KITEKNOLOJIA KUKABILIANA NA UHALIFU


 Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum akimkabidhi laptop Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya Teknolojia, Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa baadhi ya Wizara, Idara na Taasisi za Serikali iliyofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Fedha.
 Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa akitoa maelezo mafupi juu ya Mpango wa Kuboresha na Kuimarisha Takwimu nchini wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya Teknolojia, Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa baadhi ya Wizara, Idara na Taasisi za Serikali iliyofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Fedha.
 Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum akihutubia wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya Teknolojia, Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa baadhi ya Wizara, Idara na Taasisi za Serikali iliyofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Fedha.
 Mwakilishi wa Wadau wa Maendeleo nchini Bw. Richard Martin akitoa maelezo mafupi kwa Wageni waalikwa (hawapo pichani)wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya Teknolojia, Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa baadhi ya Wizara, Idara na Taasisi za Serikali iliyofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Fedha.
 Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum (Mb) akikata utepe kuonesha baadhi ya vifaa vya TEHAMA vilivyokabidhiwa kwa baadhi Wizara, Idara na Taasisi za Serikali leo katika Ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Fedha.

Friday, 21 March 2014

Kurasa za mwanzo na mwisho Magazetini leo March 22 2014


.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

DAKIKA 155:46 ZA HOTUBA YA RAIS JAKAYA KIKWETE KWA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA, AMEMALIZA KAZI KWENU WAJUMBE


 Rais Jakaya Kikwete, akiwahutubia Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba leo katika ukumbi wa Bunge mjini Dodom, ambapo katika hotuba yake ametumia dakika 155:46, kwa kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali yahusuyo muundo wa Katiba mpya ikiwa ni pamoja na kufafanua kuhusu shinikizo la muundo wa Serikali tatu na mambo kadhaa ya Muungano.
 Wajumbe wakinyanyuka kwa pamoja na kupiga makofi kumshangilia Rais Jakaya, baada ya kukonga kwa Speech yake.
 Sehemu ya Wajumbe waliohudhuria .....
 Sehemu ya Mabalozi waliohudhuria ufunguzi huo wa Bunge la Katiba katika ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo jioni.
 Mama Maria Nyerere (katikati) Mama Siti Mwinyi (kushoto) na Mama Salma Kikwete, wakiwa ukumbi  humo wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete.
 Mke wa Makamu wa Rais Mama Asha Bilal (kushoto) Mama Tunu Pinda na Mama Asha Seif Balozi, pia wakifuatilia hotuba hiyo kwa makini.
 Rais Jakaya Kikwete, akikagua gwaride maalum kabla ya ufunguzi rasmi wa Bunge hilo.
Badhi ya waandishi wa habari wapiga picha wakiwa bize.
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta na Makamu wake, Samiah Suluhu, wakijadiliana jambo wakati wakisubiri kuwapokea viongozi.
Waandishi na watu mbalimbali wakiwa nje ya ukumbi huo wakati wa maopokezi ya viongozi mbalimbali.
Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu, akiwasili kwenye viwanja vya bunge.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye viwanja vya Bunge.
Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta, akiwasili kwenye viwanja vya Bunge.
Baadhi ya waandishi.....
James Mbatia akiwasili na mjumbe mwenzake