Wednesday 17 May 2017

WAZIRI MWAKYEMBE AZINDUA TAMASHA LA NGOMA ZA ASILI ZA JAMHURI YA KOREA.



Balozi wa  Jamhuri  ya  Korea  hapa nchini Mhe. Song,Geum-young  akizungumza  na washiriki  wa Tamasha la Ngoma za asili  za nchi hiyo   (hawapo pichani)    jana Jijini Dar es Salaam.
 Wasanii  kutoka  Jamhuri ya  Korea wakionesha  moja ya ngoma za aslili za nchi hiyo wakati wa Tamasha la Ngoma za asili  za Jamhuri ya Korea  jana Jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya watazamaji kutoka Jamhuri  ya  Korea  na Tanzania wakifuatilia ngoma mbalimbali zilizokuwa zikioneshwa katika  Tamasha la Ngoma za asili  za Jamhuri ya Korea   jana Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wa nne kulia waliosimama) akiwa katika picha ya pamoja na Wasanii wa ngoma za asili kutoka Jamhuri ya Korea  wakati wa ufunguzi wa  Tamasha la Ngoma za asili  za Jamhuri ya Korea   jana Jijini Dar es Salaam.

Sunday 14 May 2017

ANGALI MATUKIO YA HAFLA YA KUMUAGA DK WENCHESILAUS MWOLEKA KUSTAAFU UTUMISHI WA UMMA.

Ilikuwa ni siku ya furaha iliyochanganyikana na majonzi  siku ya hafla fupi ya kumuaga Daktari wa Macho katika hospital ya rufaa Kagera  Dk Mwoleka ambae amestaafu utumishi wa umma kwa mujibu wa sheria,ndugu , jamaa , wafanyakazi wenzake na marafiki walijumuika katika ukumbi wa Linas kwa kula, kunywa na buburudika kwa pamoja.(katika picha kushoto Dk Mwoleka akiwa na mke wake wakikata keki) hongera sana kwa kustaafu utumishi wa umma salama na hasa katika serikali hii ya awamu ya tano, si kitu cha mchezo.