Friday 17 January 2014

MEYA ANATORY AMANI AJIUZULU,TAARIFA YA CAG YABAINI UBADHILIFU,UFISADI NA UKIUKWAJI WA TARATIBU

 Meya Anatory Amani wakati akijiuzulu
Naibu Waziri Tamisemi   Agrey Mwanri  akileza maelekezo ya serikali ya kumtaka meya ajipime na kujiuzuru au madiwani wamwondoe kwa kutumia kanuni zao


 Madiwani
 Nje ya ukumbi nako watu kibao
 Nani ya ukumbi kabla ya kikao

 Mzibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali akisoma Taarifa

 Ndani ya ukumbi
 Nje ya ukumbi wa mkutano
 Hali halisi maeneo ya ofisi ya mkuu wa mkoa kagera baada ya CAG kutoa taarifa
 Waheshimiwa madiwani
 Kweli kajiuzuru?

Makamu meya Alexsandar Ngalinda na Mkurugenzi  Manispaa ya Bukoba baada ya kufunga kikao
 Umati mkubwa sana maeneo ya soko wakicheza ngoma , baada ya meya kujiuzulu
 Ni baada ya Meya kujiuzuru
 Ngoma maeneo ya seneti
 Bw Hasan kichwabuta
 Kila mmoja kivyake
                                                             Ngoma ikichezwa
 Ni hali halisi maeneo ya seneti Bukoba baada ya taarifa ya CAG
                                   Wananchi wakipeana mikono kusalimiana
                                 Ni hali harisi maeneo ya soko kuu la bukoba , baada ya taarifa ya CAG