Wednesday, 22 July 2015

UCHAGUZI WA MADIWANI VITI UWT BUKOBA MJINI WAFANYIKA , MWAJABU GALIATANO AONGOZA KWA KURA.

 Mbunge wa Jimbo la Bukoba mjini Balozi Khamis Sued Kagasheki ambae alikuwa mgeni rasmi katika mkutano wa uchaguzi wa UWT Bukoba mjini wakati alipowasili katika ukumbi wa St Francis.
 Wajumbe wa Mkutano wa UWT Bukoba Mjini.
 Wajumbe wa kata Ijuganyondo.
 Bw Muganyizi (kulia) mwenyekiti wa kata ya Hamugembe akiwa na bw Bingwa.
 Kulia ni Mbunge viti maalum Mh Benadeter Mushashu.
 Katibu wa ccm Mkoa wa Tabora Bi Janath Musa Kayanda akisalimia wa mama, ambae pia anagombea nafasi ya Ubunge viti maalumu Mkoa wa Kagera.
 Bi Mwajabu Galiatano wakati akiomba kura kati ya wagombea 12 yeye aliongoza kwa wingi wa Kura za kishindo.
 Murungi Kichwabuta akiomba kura.amekuwa wa sita.
 Bi Mektilda ambae amekuwa wa pili.
 Bi Ashura Hassan amekuwa wa tano.
 Kuanzia kushoto ni namba moja mpaka sita.

MGOMBEA UBUNGE KUPITIA UWT CCM(WASOMI ELIMU YA JUU) MKOA WA KAGERA,ANAOMBA KURA YA NDIO.

Pichani ni Bibi Martha Akanganyira Bishanga mgombea ubunge UWT CCM kupitia wasomi elimu ya juu, Bibi Martha Bishanga anayo elimu  shahada ya Elimu,sera na Uongozi,kwa heshima na unyenyekevu mkubwa  mheshimiwa mjumbe wa mkutano Mkuu wa UWT CCM MKOA WA KAGERA NAOMBA KURA YAKO ya Ndio ili nikutumikie kuendeleza maendeleo ya wanawake na wananchi wa Mkoa wa Kagera na Taifa kwa ujumla. Mkutano unafanyika 24-7-2015, CCM OYEEEEEE.

Sunday, 19 July 2015

KAGASHEKI ARUDISHA FOMU ZA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA BUKOBA MJINI.

e
 Mbunge wa jimbo la Bukoba mjini Balozi Khamis Sued Kagasheki anaemaliza muda wake
 Wanachama wakimpungia Balozi Kagasheki.
 Balozi Kagasheki akiongea na wanachama.
 Wanaccm waliojitokeza kumsindikiza Balozi Kagasheki kurudisha fomu.
 Mwenyekiti wa kata ya Bilele Taofiq sharifu akitoa msimamo wa bilele.
 Katibu wa kata ya hamugembe  bw Hamza akieleze msimamo wa kata ya Hamugembe.
 Balozi Kagasheki akisaini kitabu cha uthibitisho wa kurudisha fomu.
Balozi Kagasheki akizungumza  na wanachama wa ccm na wapenzi waliomsindikiza kurudisha fomu.