Picha ya pamoja Wakufunzi wakiwa na wahitimu
Badyliana Kabwogi wa pili kushoto akiwa katika mafunzo
Mafunzo yakiendelea
Mkuu wa Wilaya Temeke Sofia Mjema akipokea cheti cha kuhitimu mafunzo
Wednesday, 11 December 2013
Jacob Zuma na wake za Mandela Winnie na Graca watoa heshima za mwisho kwa Nelson Mandela
.
.
Gari maalum lililobeba mwili wa Marehemu Mzee Nelson Mandela likitokea Hospitalini na msafara kuelekea sehemu maalum iliyoandaliwa kwa ajili ya watu maarufu kutoa heshima za mwisho.
Raia wa Afrika Kusini wakiwa wamejipanga kando kando ya barabara kutoa heshima zao za mwisho kwa Mzee Nelson Mandela.
Mwili wa Mzee Nelson Mandela ukiwasili kwenye jengo lililopo mji mkuu wa nchi hiyo Pretoria, ambapo utalala kwa siku tatu kuruhusu Raia wote wa Afrika Kusini na Dunia kwa ujumla kutoa heshima zao za mwisho.
Mke wa kwanza wa Mzee Nelson Mandela akionekana na majonzi mazito akielekea kutoa heshima za mwisho kwa mumewe wa zamani.
Mwanamindo wa Kimataifa Naomi Campbell alishindwa kuzuia hisia zake baada ya kuona jeneza la Mzee Nelson Mandela likiwasili kwenye viwanja hivyo tayari kwa kutoa heshima za mwisho.
Rais Jacob Zuma na mkewe wakitoa heshima za mwisho.)
FIVE STARS BOYS TIMU YA WATOTO WAPATA MWALIKO WA MKUU WA MKOA WA KAGERA KUCHEZA MECHI ZA KIRAFIKI MULEBA NA KAITABA KATI YA TAREHE 20-12-2013 HADI -1-1-2014
Timu ya Watoto wadogo ya mpira wa miguu iliyopata mwaliko wa Kanal Fabian Massawe Mkuu wa Mkoa wa Kagera
Five Star Boys wakiwa mazoezini kwa maandalizi ya kuja Bukoba
Kocha wa Five Star Boys akiwa kwenye mazoezi na watoto anaojiandaa kuja Bukoba
Kikosi kinachokuja Bukoba
Kikosi cha Timu ya watoto kati ya miaka 8-10 ambao watatoa burudani safi katika manispaa ya Bukoba na Muleba,Ziara ya watoto hawa inadhaminiwa na Point View Hotel Muleba
Five Star Boys wakiwa mazoezini kwa maandalizi ya kuja Bukoba
Kocha wa Five Star Boys akiwa kwenye mazoezi na watoto anaojiandaa kuja Bukoba
Kikosi kinachokuja Bukoba
Kikosi cha Timu ya watoto kati ya miaka 8-10 ambao watatoa burudani safi katika manispaa ya Bukoba na Muleba,Ziara ya watoto hawa inadhaminiwa na Point View Hotel Muleba
RAIS KIKWETE NA VIONGOZI WAADHIMISHA KUMBUKUMBU YA NELSON MANDELA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumanne, Desemba 10, 2013, ameungana na viongozi wa mataifa mbali mbali duniani na maelfu ya wananchi wa Afrika Kusini Kuadhimisha Kumbukumbu ya Kifo cha aliyekuwa kiongozi mashuhuri wa Afrika Kusini na duniani, Mheshimiwa Nelson R Mandela.
Maelfu kwa maelfu ya wananchi wamehimili mvua kubwa iliyokuwa inanyesha kwa nguvu kwenye Uwanja wa Michezo wa FNB mjini Johannesburg kumwaga Mzee Mandela ambaye alikuwa ishara kuu ya upinzani wa siasa za ubaguzi wa rangi za makaburu wa Afrika Mashariki
CAPE TOWN WAPITISHA BAJETI YA SH 12.2 BILIONI KUMUAGA MANDELA
Taarifa ya baraza hilo iliyotolewa jana ilisema bajeti hiyo ilipitishwa katika kikao cha dharura na kwamba itasaidia kufanikisha shughuli zote za maandalizi ya kumuaga Mandela katika mji huo.
Mbali na kupitisha bajeti hiyo, pia liliamua kuweka usafiri wa bure kwa kutumia treni za mji huo – MyCiTi na mabasi marefu ya Golden Arrow kuwafikisha watu katika maeneo maalumu yaliyotengwa kwa ajili ya kuonyeshwa shughuli za kuaga mwili.
NPF NET LINDI YATOA MSAADA KATIKA KAMBI YA WAZEE NA WALEMAVU LINDI
Mwenyekiti
wa Mtandao wa Polisi wanawake mkoaniLindi, ambaye pia ni Kamishna
msaidizi wa Jeshi hilo,Acp Renatha Mzinga,akikabidhi sehemu
ya msaada wa vyakula Muuguziwa kambi ya wazee wasiojiweza wa Rasibura,Manispaa ya Lindi,Bi,Elizabeth Njowele
ya msaada wa vyakula Muuguziwa kambi ya wazee wasiojiweza wa Rasibura,Manispaa ya Lindi,Bi,Elizabeth Njowele
Kamishna
msaidizi wa Jeshi la polisi,Bi Renatha Mzinga pamoja na wanachama wa
mtandao wa Polisi wanawake wakishiriki kazi ya usafi katika kambi ya
wazee na walemavu Mkoani Lindi zingine mwenyekiti huyo wa Mtandao wa
Polisi
Wana mtandao wa Polisi wakiendelea na zoezi la usafi
Picha tpf
3.Bi Somoe Abdallah (KULIA)Akiwa na Bi Fatuma Ismail na Bi Esha Hussein
Kassembe wakiwa kati kambi hiyo ambapo Wana Mtandao
walijitolea kufanya Usafi na Kutoa misaada mbalimbali
walijitolea kufanya Usafi na Kutoa misaada mbalimbali
mtandao wa Polisi wakiendelea na zoezi la usafi)
Subscribe to:
Posts (Atom)