Tuesday 17 May 2016

MRADI MKUBWA WA MAJI MANISPAA YA BUKOBA WAKAMILIKA,ZAIDI YA BILIONI 30 ZIMETUMIKA.

 Mradi mkubwa wa maji katika Manispaa ya Bukoba umemalizika na mkandarasi kuukabidhi rasmi kwa mamlaka ya maji Buwasa kwa ajili ya kuuendesha na wananchi kuweza kupata huduma ya uhakika ya maji safi na salama,mradi huu wa maji ni mkubwa sana ambao kwa sasa unatosheleza kutoa huduma kwa manispaa nzima ya Bukoba na bado unaweza kutoa huduma na maeneo jirani kwa maana ya wilaya jirani,mradi huu umegharimu zaidi ya bilioni 30.
 Ni mkandarasi  Bw Alibaba(kushoto) akikabidhi  kwa  viongozi toka wizarani na Buwasa.
 Miundombinu.
 Chanzo hiki kikubwa cha maji kimejengwa maeneo ya Bunena.
 Meneja Mhusiano wa Buwasa Bi Julieth akiwa kikazi zaidi.
 Mkurugenzi msaidizi Buwasa akisisitiza jambo.
 Tank kubwa lililojengwa Kibeta magoti.
Endelea kuangalia jamcobukoba.blogspot.com