Thursday 6 March 2014

NI MIPANGO TU POPOTE INAWEZEKANA ONGERA MR & MRS JUSTINE JUSTUCE,SHEREHE ILIFANYIKA KATIKA KIJIJI CHA RUBYA MULEBA BUKOBA

 Bw na Bi Harusi katika pozz
 Mapadri walioongoza ibada  ya ndoa
 Wanafamilia wakisikiliza maubiri ya ndoa kanisa katoriliki la Rubya
 KATIKATI Mama Leoleo akitafakari matarajio yake
 Mke wangu nakuvisha pete hii iwe insharah ya uaminifu wangu na upendo wangu kwako, nitakupenda, nitakulinda, nitakuheshimu siku za maisha yangu yote
 Maeneo ya Rubya Hospital panaitwa Nyakaina
 Mwenyekiti wa sherehe akifungua
 Ni pozz tu wala usistuke
 Mc Jerry full vituko
 Shampein zikafunguliwa
 Kunywa mke wangu
 Kula mke wangu
 Mc Jerry akirishwa keki kwa niaba ya  mabachera wazoefu wote,ilikuwa ni vicheko ukumbi mzima
 Wadad waliochangamsha harusi hii
 Maisha ya ndoa yahitaji kuvumiliana na kusameana
 Watoto wakitumbuiza kwa nyimbo zao
Maharusi wakingia ndani

Wednesday 5 March 2014

MAMA MJAMZITO AJIFUNGUA NDANI YA BASI LIKIWA SAFARINI

 Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanamke mmoja jina halijafahamika anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 20-25 akiwa na mumewe, wakitokea wilayani Chunya mkoani Mbeya
wakielekea wilayani Mbozi amejifungulia kwenye gari aina ya Coaster jana lenye namba T 653 CTC.
Gari hiyo ilikuwa ikielekea Tunduma ambapo imeelezwa kuwa Mwanamke huyo alijifungua mtoto wa kiume.
 
Mwandishi wa habari hizi Moses Ngwa't anasema licha ya yeye kuwa shuhuda wa uzazi huo kwasababu alikaa na mjamzito huyo, Bibi mmoja ndye alikuwa shujaa wa kumzalisha binti huyo.

Tuesday 4 March 2014

BW WILSON NA BI ELIZABERTY WASAINI MKATABA WA KUISHI KATIKA RAHA NA SHIDA

 Bw na Bibi Wilson Mchunguzi wakiwa ufukweni
 Maubili ya ndoa yakiendelea kanisani
 Sasa ni mume na mke kwa raha zaoooooo
 Pendeza sanaaaaa
 Tunaendesha wenyewe
 Kijana Kahabuka, ukumbini,Bukoba club
 Mc Jerry akiwaelekeza wazazi waingie ukumbini
 Ukumbi ulipendeza sana
 Vijana watanashati wakiingia ukumbini kwa kucheza
 Karibu keki
 Zawadi
 Kamati ikileta zawadi
 Wadada pekee kwenye kamati nzima
 Noti za kutosha kamati ilitoa
 Zikiokotwa na kuhesabiwa
 Kijana akimwaga radhi na chupa yake mkononi.....
 Chakula ni kitamu
 Ma Mc Aman na Jerry
 Mdogo mtu akicheza na bi Harusi
Jamcobukoba.blogspot.com tunawatakia maisha ya upendo, amani katika ndoa yenu