Thursday 12 October 2017

CRDB BENKI BUKOBA WATAMBUA NA KUSHUKURU WATEJA WAO.

 Katika maadhimisho ya kilele cha wiki ya huduma kwa wateja, CRDB Benki tawi la Bukoba wameandaa hafla ya chaakula na mazungumzo na wateja wao , katika hotel ya Cofee iliyoko Bukoba Manispaa. Meneja wa tawi  Bw Sendwa wakati akiongea na wateja aliwashukuru wateja wote wa CRDB Benki kwa kuwawezesha kufanya kazi kwa faida na ndio maana wameona umuhimu wa kukutana nao na kuzungumza mafanikio na changamoto zinazowakabiri, ili wote kwa pamoja washirikiane na kusonga mbele.(katika picha , Meneja wa tawi akitambulisha wafanyakazi)
 Kushoto, mgeni rasmi akiwasili ukumbini.
 Katika burudani, live bendi ilihusika.
 Kulia ni Bw Alfred Ngatunga na Bw Rashid Shehe wafanyakazi wa CRDB Bukoba ngazi ya viongozi.
 Kulia Bw  Daniel Nyamuvugwa kutoka makao makuu CRDB na Bw  Manesa Mbaga Meneja Masoko CRDB Bukoba.
 Bw Manase Mbaga akiongea na wateja.
 Wafanyakazi wa  CRDB Bukoba.
 Utambulisho wafanyakazi wa CRDB
 Wateja wa CRDB


 Mgeni rasmi (kushoto) akifungua muziki)
 Wahenga utawajua tu, mambo ya twistiiiii
Kulia ni Meneja wa tawi akisakata rhumba na mgeni rasmi.

Tuesday 10 October 2017

JOSIAH GIRLS HIGH SCHOOL WAFANYA MAHAFALI YA TATU KIDATO CHA NNE 2017

 Josiah Girls High school imefanya Mahafali ya tatu ya kidato cha nne 2017, Mgeni rasmi Dk Bansen Bana ambae anafundisha chuo kikuu cha Dar-es salaam katika hotuba yake ameridhishwa na kiwango cha hali ya juu cha maandalizi ya wanafunzi wahitimu katika mitihani yao itakayofanyika mwezi wa kumi, Mkuu wa shule awali akitoa taarifa ya shule alisema katika mitihani ya mock waliyofanya,  wanafunzi wote walipata wastani wa daraja la kwanza, hivyo wanaimani watafanya vizuri mitihani yao.(katika picha kulia mgeni rasmi akizindua gazeti la shule)
 wahitimu 2017
 Wahitimu 2017









Mwenyekiti wa bodi ya shule Mzee Rutabingwa akiongea na wageni waalikwa na wanafunzi kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kuongea.
 Mgeni rasmi Dk Benson Bana  akiongea na wageni rasmi na waalikwa ,katika mahafali ya tatu ya kidato cha nne Josiah Girls 2017.
 Mkurugenzi wa shule, Mzee Joseph Masabala akitambulisha gazeti la shule.
 Mh Diwani wa kata ya Ijuganyondo Almasoud Kalumunkiongea na wananchi .
 Mgeni rasmi akitoa vyeti kwa wahitimu.
 Wazazi na wageni waalikwa.
 Mkuu wa shule akisoma hotuba.
 Walimu.
 Walimu.

KWA MAHITAJI YA PICHA ZA VIDEO, PICHA ZA MNATO NA KURUSHWA KATIKA JAMCOBLOG WASILIANA NASI 0788-707027, 0754-757157 AU 0622-757157