Monday 9 October 2017

NMB BUSINESS CLUB WAPATA MAFUNZO NAMNA YA KUFANYA BIASHARA NA KUONGEZA MITAJI BUKOBA.

 Wafanyabiashara na wajasilimari ambao ni wateja wa NMB Mkoa wa Kagera wamepata mafunzo, mbinu mbalimbali namna ya kufanya biashara kwa faida na kukuza mitaji yao, mafunzo hayo yalifanyika katika Manispaa ya Bukoba , hotel ya Smart. mafunzo hayo yaliudhuliwa na Mkuu wa Mkoa Kagera Meja Jenerali mstaafu Salum Mustafa Kijuu na viongozi waandamizi wa NMB makao makuu akiwemo mjumbe wa bodi ya wakurugenzi  Bw  Protese Tehingisa, Mkurugenzi wa NMB Bi Ineke Bussemaker,Kaimu afisa  mkuu wa wateja wadogo na wa kati  Bw  Abdulmajid Nsekela.

Kwa mahitaji ya picha za video, picha za mnato, na kurushwa kwenye blog wasiliana nasi kwa simu 0788-707027, 0754-757157 au 0622-757157.

No comments:

Post a Comment