Thursday 25 December 2014

BUKOBA CLUB ILIKUWA NI SHIDAAA, LADY MARIAM NA BK SANDE WAFANYA NOMAAAA!!!

Mwanamuziki mahiri kutoka Nchi ya Uganda Lady Mariam akiimba moja ya Wimbo wake kutoka kwenye Album yake Wimbo uitwao Yampamba mbele ya mashabiki wake kwenye Ukiumbi wa Bukoba Club leo X-Mass. Shoo hii itaendelea tena leo kwa Burudani kali Wilayani Muleba leo siku
ya Ijumaa "Boxing Day" kwenye kiota kipya Ukumbi wa kisasa wa Nalphin Hotel & Night Club kwa kiingilio cha kawaida cha Tsh.10,000 na VIP kwa Tsh.15,000/-
Lady Mariam(kushoto) akicheza na Shabiki wake Jukwaani
Wadau mbalimbali walihudhuria kwa wingi kuona live Shoo hii kwenye Ukumbi wa Bukoba Club
Lady Mariam akiwabamba mashabiki wake kwenye ukumbi wa Bukoba Club usiku huu.
Hakika ilikuwa ni full shangwe, Wakina Mama wakiburudishwa na Lady Mariam usiku huu kwa nyimbo zake mchanganyiko zikiwemo za kiswahili na Kiganda.


Mwanamuziki Bk Sande
Dj Cashmizzo akijiachia kwenye Camera



Mwadada Lady Mariam (kulia) akiimba kwa hisia mbele ya Mashabiki wake leo kwenye Sikukuu ya Krismas.Lady Mariam akiimba na waimbaji wake


Lady Mariam na wenzake wakilitawala jukwaaMashabiki ilibidi wasimame!!
Mashabiki walisimama na kuanza kuimba nae
Ni Mutuu muzitoo  Papaa Justuce Rugaibura akishare love na lady mariam ilikuwa ni shidaaaa!!!


Mwanamuzi Lady Mariam akiimba moja ya wimbo wake uliotikisa wa Tindatine na Shabiki


BK Sande akiwekwa kati na waimbaji kutoka Uganda ulioambatana na Bosi wao Dada Lady Mariam wakiimba wimbo wa BK Sande wa "Omwana"

NI HEKAHEKA ZA X-MAS MAENEO TOFAUTI BUKOBA

 Ni magari ambayo hayakuzoeleka sana Bukoba, lakini kipindi hiki kama utitiriii, wahaya ni shidaaaa.
 Bw Jamco, Hamimu Kangeze na Kamala.
 Jamco family.
 Khadija Jamal.
 Ashira Jamal.
 Mr Basibira.
 Nyumbani kwa Mzee Ndiwaita shamrashamra kwa kwenda mbele.
 Wa pili kushoto mzee Ndiwaita akifurahi na wageni waliomtembelea nyumbani kwake.
 Bw Jovin akiwa na mzee Ndiwaita.
 Watoto wakifurahi.
 Hiyo ndio X-mas , watu kwa raha zao.
 Ruga Masabara katika harakati za X-mas.
 Pande za Beach maeneo ya spice.
 Mr & Mrs Jamal uso kwa uso na camera yetu pande za spice beach motel.
 Teddy Mboto kifamilia zaidi.
 Maeneo ya beach.
Tunaendelea kuwaletea matukio.