Thursday 9 June 2016

OMULANGIRA DAUDI MBONEKO AZIKWA NYUMBANI KWAKE BWANJAI MISSENYE BUKOBA.

 Omulangira Daudi Mboneko aliefariki 5-6-2016 amezikwa nyumbani kwake Bwanjai Missenye 8-6-2016,mamia ya waombolezaji wamejitokeza kumzika kutoka maeneo mbalimbali.
 Kushoto ni Bw Ruta Rwabigene.
 Wajukuu wakifanya yao.
 Kulia blogger Mc Baraka.
 Ni matukio yakiendelea kujili.
 Wa kwanza kulia Bw Kanati kulinda.
 Mchungaji akiendelea na ibada.
 Kwaya ya kanisa kuu Bukoba wakiimba katika ibada.
 Omulangira Lugaibura.
 Bw Phocus Rwegasira.
 Bw Rahim Kabyemela akisalimiana na wafiwa.
 Wajukuu.