Zile habari zilizoenea kwenye mtandao za kifo cha rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi si za kweli ni uzushi, mzee mwinyi yuko salama salimini.