Saturday 21 February 2015

KAGASHEKI AKUTANA NA VIJANA WA CCM,AWATAKA WAJIANDIKISHE KWA WINGI NA WASHIRIKI KATIKA KURA YA MAONI YA KATIBA PENDEKEZI.


 Mbunge wa jimbo la Bukoba Mjini Balozi Khamis Sued Kagasheki amekutana na vijana wa ccm zaidi ya mia sana wa Manispaa ya Bukoba.Katika kikao hicho Mh Kagasheki alielezea umuhimu mkubwa wa vijana kushiriki katika zoezi la uandikishaji  wa daftari la kudumu la kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu,pia alizungumzia umuhimu wa vijana kushiriki katika kura ya maoni ya Katiba pendekezi.
 Ni baadhi ya viongozi wa vijana akiongea.
 Kulia ni Mwenyekiti wa  group maalumu la vijana wa ccm Bw Bushira akiongea na wajumbe wenzake.
 Kushoto ni kamanda wa uvccm kata ya Bilele, Amin Idrisa na Bw Simba.
 Katibu wa uvccm Mkoa wa Kagera Didas Zimbihile.
 MH Kagasheki akiwasili katika ukumbi wa kikao.
 Mh Kagasheki akiwapungia vijana.
 Vijana wakiimba wibo TUNAIMANI NA KAGASHEKI,UKUMBI, ULIZIZIMA
 Munkari wa vijana ukapandaaa
 Bw Shafi katika mambo ya  protoko.
 Katibu wa ccm Bukoba Mjini.
 Kushoto ni Mnec wa Bukoba mjini Abdul Kagasheki.
 Katibu uvccm Bukoba Mjini Bw George akiwa na Katibu msaidizi na mhasibu ccm mjini  Abdul Kambuga.
 Mwenyekiti wa Group malumu la vijana wa ccm Bushira Jumanne akifungua kikao.
 Mwenezi wa chama cha mapinduzi Manispaa ya Bukoba Ramadhani Kambuga akisalimia vijana.
 Mnec Bukoba mjini Abdul Kagasheki akizungmza na vijana,kwa nafasi yaki amewataka vijana kujiandikisha kwa wingi, kushiriki katika  kura ya maoni ya katiba.
 Kijana mdogo akitoa burudani.
 Bw Muganyizi akiwatunza vijana wa show.
 Kamanda wa kata ya Miembeni Jamal Kalumuna akiwatunza vijana wa show.
 Kamanda wa Vijana kata Miembeni akiongea na  vijana.
 Kamanda wa vijana kata ya Bilele akiongea na vijana.
 Bw Muganyizi Zachwa akiongea na vijana.
 Mwenyekiti wa Vijana Mkoa wa Kagera Yahya Kateme akiongea na Vijana,amewataka kujipanga vizuri kuhakikisha wanalinda na kuhakikisha ushindi wa ccm unapatikana kwa kishindo.
 Mjumbe wa mkutano mkuu wa Taifa Kamala akachangia shilingi laki tano kwa ajili ya kambi ya vijana .
 Nae Kijana Kichwabuta  akahaidi laki tao kwa ajili ya kambi ya vijana.
 Jumanne Bingwa akiteta kitu na Mbunge.
 Picha za pamoja.
 Ilikuwa ni shughul katika picha kila mmoja anatamani awe karibu na mbunge wake.
Endelea kuangalia matukio jamcobukoba.blogspot.com.