Friday 20 February 2015

MATUKIO KATIKA PICHA KIO CHA BARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA BUKOBA.

Kulia ni Mkuu wa Mkoa  wa Kagera akiwa na Mbunge wa jimbo la Bukoba Mjini Balozi Khamis Sued Kagasheki katika Kikao cha kawaida cha balaza la madiwani Manispaa ya Bukoba.
Balozi Kagasheki akiwa na Diwani wa kata ya Bakoba Mh Felician Bigambo( cuf)  wakiteta kitu.
Katibu tarafa Manispaa akiteta na mh Mbunge.
Bw Bingwa akisalimiana na Afisa biashara wa Manispaa.
Diwani wa kata ya kibeta Mh Mlaki (chadema)  akiwa na Balozi kagasheki.
Mh Diwani Mwajabu akiongea na Mbunge.
Mwenyekiti wa Chadema Wilaya Bukoba Mjini Bw Sherejei akiongea na Balozi kagasheki kabla ya kikao kuanza.
Kulia Mh Diwani Ashura,Balozi Kagasheki na Mh Mwajabu.
Mh Richard Garspar diwani wa kata Miembeni.
Mh Makamu meya Alexsanda Ngalinda akifungua kikao cha balaza la madiwani.
Mh Mbunge viti maalumu ; Mh Elizabert Batenga.
Mh DISMAS Rutangwlera diwani kata Rwamishenye akiwa na Mh Diwani Richard Gaspar

No comments:

Post a Comment