Sunday 9 March 2014

ADVOCATE BASIL PROTASE MKWATA AZIKWA KIJIJINI KWAO KARAMBI NGOTE MULEBA KWA HESHIMA ZOTE.

 Ni picha ya marehemu Basil Protase Mkwata alifariki 5-3-2014 huko mkoani Iringa na mwili wake kusafirishwa kuletwa kijijini kwao na kuzikwa  8-3-2014 katika kijiji cha Karambi Ngote, katika maubiri ya mazishi Baba paroko padre Lernard alieleza matendo ya marehemu katika uhai wake kuwa alijiandalia kifo kizuri,maana alilipenda kanisa , alisaidia wahitaji na aliwapenda sana wana karambi.
 Bi Farida mwanafamilia alitoka na mwili wa marehemu Iringa kwa ajili ya mazishi
 Majonzi na simanzi.......
 Marafiki wa marehemu waliosindikiza mwili wa marehemu kutoka Iringa
 Mipango ya mazishi ikiendelea
 Jaji Marry Shaugali wa mahakama kuu akitoa mkono wa pole
 Wakili Lameck na  Hakimu wanne wa Muleba mwenye miwani
 Viongozi wa dini
 Kwaya ya karambi iliyokuwa ikifadhiliwa na marehemu
 Pia na  hii ni kwaya iliyokuwa ikifadhiliwa na marehemu
 Mwili ukitolewa ndani
 Mawakili ndio walibeba jeneza lake
 Wananchi wa Karambi
 Maandamano ya misa ya mazishi yakitokea nyumbani kwa marehemu kuja eneo la ibada kwa baba yake na marehemu
 Paroko akitoa maubiri kuhusiana na kifo alifika mahala akaegemea jeneza la marehe akieleza marehemu alivyokuwa akisaidia kanisa, jamii, nk.
 Waheshimiwa majaji sita walihudhulia mazishi
 Jaji Kwaliko(incharge wa Songea) mke wa marehemu akiwa katika majonzi ya kumpoteza mmewe
 mama mzazi wa marehemu
 Mtoto wa marehemu
 Mtoto wa marehemu
 Mjane wa marehemu Gaudensia Mkwata
 Wakili Matias
 Jaji Luanda wa mahakama ya Rufaa akitoa heshima za mwisho
 Watoto wa marehemu
 Mjane wa marehemu akimuaga mmewe
 Watoto wakimuaga baba yao
 Mtoto wa marehemu katika wakati mgumu
 Mawakili wakipeleka mwili eneo la kuzika
 Jaji Muss Kipenka wa mahakama ya Rufaa
 Mashada ya maua yakiwekwa
 Advocate Rweyemamu akiweka shada la maua
 Wakili Yusufu akisoma historia ya marehemu
 Wanafamilia
 Jaji Engera Kileo wa mahakama ya Rufaa akitoa rambirambi
 J.S.Rweyemamu Advocate akitoa rambirambi za(Tanganyika Law Society) chama cha mawakili Tawi  la  Bukoba
 Advocate Ladislaus Kaijage(kulia) Lecturer chuo kikuu Ruaha Iringa akitoa salamu za rambirambi kutoka  Tawi la Iringa
 Mwenyekiti wa kigango cha karambi
 Mwakilishi kutoka Iringa
 Mwanafamilia akitoa ushuuda namna marehemu alivyopenda kusaidia ndugu, jamaa, marafiki na kujari undugu na urafiki
 Mwanafamilia akitoa shukrani kwa wote walioshiriki kwa kila namna  katika msiba, kusafirisha mpaka kumzika marehemu, Marehemu Basil ameazikwa kwa heshima zote za dini ka kikatoliki ameacha wajane wawili na watoto watano,mungu ailaze roho ya marehemu peponi Amina

No comments:

Post a Comment