Friday 23 May 2014

SHARIFA ELIAS NASSIBU AFUNGA NDOA NA BW ABDALAH JIJINI MWANZA

 Bwana harusi Abdarah akiwa msikiti wa Mwananchi Nyakato Mwanza kabla ya kufunga ndoa
 Bi harusi Sharifa Elias Nassibu akitabasamu baada ya kunga ndoa
 Nyumbani kwa kaka wa Bi harusi Bw Yusuf Elias Nasibu zilipofanyika shughuli na maandalizi yate ya ndoa
 Dada akitabasamu na kumwita shoga yake awahi kwenye shughuli
 Ni kamati ya kuhakikisha mambo yanakuwa sawa kama yalivyopangwa
 Dada zake na bibi harusi wakitabasamu
 Bi swaiba Dada wa bibi harusi
 Mikakati ikiendelea kupangwa
 Bw Said akiwa na Jamal kalumuna
 Bi Aisha Yusuf mama mwenyeji wa shughuli nzima
 Kulia ni Mama Mzazi wa bi harusi akiwa na mama mkuwa wa bi harusi
 Bw Yusuf Elias akikaribisha wageni
 Imamu wa msikiti wa mwananchi akiendesha ratiba ya ndoa
 Bw Ismai Elias Nasibu kaka mkubwa wa bi harusi
 Bw Abdalah Elias Nassibu kaka wa bi harusi
 Shekhe Simba
 Waliii wa Bi harusi Imail Elias Nassibu akifungisha ndoa
 Shekhe Nuran kutoka muleba Bukoba akitoa mawaidha baada ya ndoa
 Kaka wa Bi HARUSI Nassibu Elias
 Chakula
 Bw Jamal Kalumuna akitoa neno la shukrani kwa niaba ya familia ya Marehemu Alhaji Elias Nassibu
 Bw Sudi Khami akiwajibika
 Eneo la wamama nyumbani kwa Bi harusi
 Pozz tofauti za bi harusi
 Mrs Said akiwa na Bi harusi




Ongereni  Abdalah na Sharifa kwa kufunga ndoa,jamcobukoba.blogspot.co tunawatakia maisha mema na furaha.