Wednesday 21 May 2014

KITCHEN PARTY YA SHARIFA ELIAS NASSEEB YAFANA

 Bi harusi mtarajiwa Sharifa
 Kitchen party ilifanyika katika ukumbi wa Vijana centre mlango mmoja Mwanza
 Bi SHARIFA KWA RAHA ZAKE AKIJIMWAYAMWAYA AKIINGIA UKUMBINI
 Bi Zainabu nasibu dada wa Bi harusi mtarajiwa akifurahi
 Bi Aisha Abasi wifi wa bi harusi aliesimamia shughuri nzima na kufanikiwa akimlisha keki bi harusi mtarajiwa
 Dada wa bi harusi mtarajiwa

 Mc kwa raha zake na vimbwanga vyake,anasema mjini hakuna mzee kila mtu baby

somo akipewa zawadi

 Ni wakati wa mama kumtunza mwanae
 Kila mtu na kazi yake bwana,mama steeve usipimeeeee
 Rafiki kipenzi wa mtarajiwa
Mtunze wifi

Mtarajiwa akimpa mama mzazi zawadi
 Chakula time
Dada wa bi harusi mtarajiwa wakipata chakula

No comments:

Post a Comment