Thursday 15 October 2015

MAPOKEZI YA HAJAT SHAMILA JAFARI, ILIKUWA NI FURAHA NA SHANGWE UWANJA WA NDEGE BUKOBA.

 Ilikuwa ni furaha kubwa sana Hajat Shamila Jafari mke wa Bw Sadat maarufu Kamachumu alipowasili Bukoba akitokea hijja,macozi ya furaha yaliwatoka ndugu na jamaa pale walipoonana ana kwa ana na hajat Shamila kufuatia hija ya mwaka huu maujaji zaidi ya 700 kupoteza maisha,hivyo kuwasili salama kwa hajat shamila ilikuwa ni furaha kubwa kwa familia.(pichani ni hajat akiwapungia ndugu na jamaa akitokea airport Bukoba akiendeshwa na Mme wake).
l

 Ni katika uwanja ,mapokezi ya hajat Shamila.
 Hajat Shamila akitokwa machozi ya furaha baada ya kukutana na ndugu na jamaa.,