Friday 6 July 2018

MAELFU WAMZIKA OMULANGIRA ADEODATUS RUGAIBULA,MAJONZI NA SIMANZI VYATAWALA.

 NI pigo  kubwa katika kata ya Bukwale Kanyigo kwa kuondokewa na diwani wao mchapakazi na kipenzi cha wengi Omulangira Adeodatus Rugaibula, vilio na majonzi vilitawala katika familia ndugu , jamaa na marafiki mara baada ya taarifa ya msiba kutolewa, Marehemu Omurangila Rugaibula amefariki tarehe 28/6/2018 na kuzikwa 2/7/2018 katika kijiji cha Bukwale Kanyigo.(katika picha mwili wa marehemu ukitolewa ndani kwake kabla ya Ibada ya mazishi kuanza.)
 Mwenyekiti  Halmashauri ya Missenye akitoa neno.
 Madiwani wa Halmashauri ya Missenye.
 Mh Mbunge wa Nkenge Dk Diodurus Kamala.

Mh Mbunge Diodorus Kamala akiwasili msibani.
 Waombolezaji wakiwasili msibani.
 Wanapamoja Group wakiwasili msibani.
 Salamu mbalimbali za rambirambi zikitolewa.
 Madiwani wa Halmashauri ya Missenye.

Pumzika kwa amani Omulangira Rugaibula.