Friday 11 September 2015

VILIO VYATAWALA MAPOKEZI YA MWILI WA MAREHEMU JOSEPH MSHUMBUSI UWANJA WA NDEGE BUKOBA.

 Ni katika uwanja wa ndege Bukoba pale mwili wa marehemu Joseph Mshumbusi ulipowasili,hakika simanzi , vilio na majonzi vilitawala, Mjane wa marehemu akisaidiwa walipowasili Bukoba.
 Jamaa waliojitokeza uwanja wa ndege.











































































Tutaendelea kuwaletea matukio ya kaniisani na badae kilichoendelea kijijini kanazi.