Saturday 9 January 2016

MWILI WA MAREHEMU OMWANA MARIA EDWARD MBONEKO WATOLEWA HOSPITAL,WAKAZI WA RWAMISHENYE WAMUAGA, KUZIKWA GERA JUMATATU 11-01-2016

 Ni jeneza la mwili wa marehemu Omwana Maria Edward Mboneko ukiwa nyumbani kwake Rwamishenye baada ya kutolewa hospital na kuletwa , ili wakazi wa maeneo ya Rwamishenye waweze kutoa heshima zao za mwisho, na mwili utapelekwa Gera siku ya Jumapili 10-01-2016 na mazishi yatafanyika Jumatatu 11-01-2016 saa tisa alasiri, Marehemu alifariki 6-01-2016.
 Bw Bushira akiwa na Bw Basibira.
 Kushoto  Ben Kataruga wakiwa na Dr Mboneko.
 Watoto wa marehemu na wanandugu wakiwa hospital.
 Deo Rugaibura akiwa maeneo ya hospital.
 Mwili wa marehemu ukiandaliwa na wanandugu kwenye chumba maalum , hospitalini.
 Mwili wa marehemu ukitolewa Mortury  hospital ya Mkoa wa Kagera kupelekwa nyumbani kwa marehemu.Kampuni rasmi ya kuzika kutoka Uganda ndio wanashughulika na maswala yote kuhusiana na mwili wa marehemu.
 Kwaya ya Rwamishenye.
 Ibada ya misa ikiendelea Rwamishenye.
 Bw Optat Katibu akisaini kitabu cha maombolezo, nyumbani kwa marehemu Rwamishenye Bukoba Mjini.
Wanafamilia wakiteta jambo, marehemu atazikwa Gera siku ya Jumatatu 11-01-2016 majira ya saa tisa jioni.