Baadhi
ya Watoto wakionyesha ujuzi wa kucheza sarakasi kwenye uwanja wa
Kasulu, Mburahati kwa Jongo wakati wa onyesho la kuhitimisha warsha ya sarakasi na ngoma za samba regge
iliyoandaiwa na kituo cha Baba Watoto kupitia mradi wa Fit For Life.
Ngoma za samba regge kutoka Brasili zikichezwa kwenye uwanja wa Kasulu, Mburahati kwa Jongo
Kaimu
Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Godfrey Mngereza
akitoa hatuba yake kwa wananchi na wapenzi wa muziki na sarakasi
waliofika kwenye onyesho hilo.
Mkurugenzi
wa Kituo cha Utamaduni cha Ujerumani cha Goethe Institut ambaye pia ni
Mkurugenzi wa mradi wa fiti for life, Eleonore Sylla akisema machache
wakati wa onyesho la kuhitimisha warsha ya sarakasi na ngoma za samba regge kupitia mradi wa Fit For Life
Mratibu wa kimataifa wa mradi wa Fit for life, Daniela Titze akisema machache wakati wa onyesho la kuhitimisha warsha ya sarakasi na ngoma za samba regge kupitia mradi wa Fit For Life
Meneja Mradi wa Fit fr life, Habiba Issa akitoa maelezo kuhusu mradi huo wakati wa onyesho la kuhitimisha warsha ya sarakasi na ngoma za samba regge kupitia mradi wa Fit For Life
Kutoka
kulia ni Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA,
Godfrey Mngereza, Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Ujerumani cha
Goethe Institut ambaye pia ni Mkurugenzi wa mradi wa fiti for life,
Eleonore Sylla, Mratibu wa kimataifa wa mradi wa Fit for life, Daniela
Titze na Meneja Mradi wa Fit fr life, Habiba Issa wakifurahia jamb
wakati wa onyesho hilo
Mkurugenzi
wa Kituo cha Baba watoto, Mgunga Mwa Mnyenyelwa akiteta jambo na
Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Ujerumani cha Goethe Institut,
Eleonore Sylla ambaye pia ni Mkurugenzi wa mradi wa fiti for life na
Mratibu wa kimataifa wa mradi huo, Daniela Titze
Watoto hao wakionyesha upigaji wa ngoma za samba regge wakati wa kuhitimisha warsha ya muziki wa samba regge na sarakasi inayofanyika kupitia mradi wa fit for life ambayo imewashirikisha watoto walio kwenye
mazingira magumu kati ya umri wa miaka 10 hadi 25 imefadhiliwa na umoja wa ulaya (EU) na
kusimamiwa na kituo cha Utamaduni cha Ujerumani Goethe-Institut kwa ubia na
Ufa-Fabrik ya Ujerumani na Parapanda Theatre.
Maujuzi yakiendelea pande hizo...
''Tutaelewa tuuu''