Friday 12 July 2013

UNAWEZA KUJITOA KIASI HIKI KWA MWINGINE?


Picha hii ilipigwa Rio de Janeiro Brazil.Mpiga picha alimpiga huyu baba wakati akivua viatu vyake na kumpa binti ambae ni mtoto wa mtaani.Binti huyo alikuwa akitembea peku.
Je tunaweza kujitoa kiasi hiki kwa wengine?!
Ungana nami katika kuchangia vituo vitatu vya watoto yatima kupata mahitaji yao mbali mbali.Kutoa ni moyo wala si utajiri.

No comments:

Post a Comment