Wednesday 10 July 2013

KAGASHEKI CUP 2013: IJUGANYONDO 0 vs KASHAI 4

Kikosi cha Kashai kilichoanza
Kikosi cha Ijuganyondo
Waamuzi wa kipute cha leo kati ya Kashai na Ijuganyondo

Ijuganyondo wakijifunga kuanza kazi
Kashai ..mpango mzima!!
Mashabiki wakipagawa baada ya kuwaona

Refa akiangalia wachezaji kama wamekamilika
Benchi la Kashai leo
Nini tunataka mashabiki...Mabao tu!!!



Kagasheki Cup nomaaa!!!

Ijuganyondo wakiangalia kwa huruma baada ya kupigwa bao la kwanza haraka haraka..
mpango mzima kucheki kipute!!

Bao!!!
Raha kwenye jukwaa la mashabiki wa Kashai FC

Wachezaji wa Kashai wakikimbia kwa raha baada ya kupongezana baada ya kufunga bao la pili kupindi cha kwanza

No comments:

Post a Comment