Monday, July 8, 2013
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akifungua Mkutano wa 32 wa Wadau wa Posta kwa Nchi za Afrika, ulioanza
jijini Arusha leo, Juliai 8, 2013. Mkutano huo umehudhuriwa na wadau wa
Posta kutoka nchi za Afrika.
Makamu
wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongozana na baadhi ya Viongozi, Waziri wa Mawasiliano,
Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa (kushoto) Katibu Mkuu wa
Shirikisho la Posta kwa Nchi za Afrika (PUPA) Younouss Djibrine
(kulia) na Prof. John Nkoma, Mkurugenzi wa Mawasiliano Tanzania (wa
pili kulia), wakati akiwasili kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha leo
Julai 8, 2013 kwa ajili ya kufungua Mkutano wa 32 wa Wadau wa Posta kwa
Nchi za Afrika, ulioanza jijini Arusha leo.
Makamu
wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Posta kwa
Nchi za Afrika (PUPA) Younouss Djibrine, wakati wa ufunguzi wa Mkutano
wa 32 wa Wadau wa Posta kwa Nchi za Afrika, ulioanza jijini Arusha leo,
Juliai 8, 2013. Mkutano huo umehudhuriwa na wadau wa Posta kutoka nchi
za Afrika.
Baadhi
ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akifungua rasmi
mkutano huo leo kwenye Ukumbi wa AICC, jijini Arusha. Picha na
OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki baada ya kufungua
mkutano huo.
Kikundi cha Kwaya cha Jijini Arusha kikitoa burudani
Waziri wa
Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa, akizungumza
machache kabla ya kumkaribisha Mhe. Makamu wa Rais kufungua mkutano huo.
No comments:
Post a Comment