Thursday 11 July 2013

LIVE MATCH: KAGASHEKI CUP 2013, MIEMBENI 2 vs RWAMISHENYE 2

Wachezaji na waamuzi wakiingia uwanjani
Timu zikisalimiana muda mfupi kabla ya kuanza
Picha ya pamoja na timu kapteni na refa

Wachezaji wa Rwamishenye wakiomba kushinda hapa!

Kikosi cha Rwamishenye kilichoanza
Kikosi cha Miembeni kilichoanza

Mashabiki wa Miembeni



wadau wakifatilia kabumbu kwa hali ya juu sana na makini
Wadau jukwaani wakifatilia soka uwanja wa Kaitaba
Bao!!! la...laa!!!
Miembeni wakishangilia kwa furaha baada ya kupata bao la frii kiki kuelekea golini
Raha ya kupata bao
Wachezaji wa Miembeni wakipongezana baada ya kufunga goli la kwa kwanza na kufanya 1-0 dhidi ya rwamishenye

Wachezaji wa Miembeni wakishangilia kwa kurudi kati

No comments:

Post a Comment