Monday 8 July 2013

KWAYA YA WATOTO UPENDO KWAYA YA KANISA LA ANGLIKANA BUKOBA WAZINDUA DVD YA NYIMBO KWA MALENGO YA KUKUZA MFUKO WAO KWA AJILI YA ELIMU,BALOZI KAGASHEKI AWACHANGIA MILIONI ISHIRINI NA LAKI SITA

                                              Watoto wa kwaya ya upendo wakiwa kanisani
watoto wa kwaya upendo upendo ambao wamezindua albam  ya nyimbo za video( mungu ni mwema)
anaepiga kinanda ndio mwalimu wa kwaya ya upendo Emanuel Tumwesige Bililiza akiwa nya mwenyekiti  wa kwaya ambae ni mwimbaji maili sana anapokuwa jukwaani Jackline(wende) Kakengi
                                                          Jackline kakengi  na wenzake wakiimba
balozi kagasheki  ambae alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi huo akifurahia kwaya ya watoto wa upendo ikitumbuiza, na kulia ni mwenyekiti wa ccm wilaya ya bukoba mjini  yusuf ngaiza
                                     Baba Askofu Jackton Lugumira wa kanisa la Anglikana
                                       waumini na wageni mbalimbali waliofika kushuhudia uzinduzi
                                          Baba askofu akihutubia waumini
                                                       waumini na wageni waalikwa
                                                                   wachungaji
                                              mwalimu lobozi  na kulia ni mama mwainunu
 mzee rweyemamu(advocate) nae alikuwepo na aliwachangia watoto kutunisha mfuko wao
                                       jumanne bingwa, msaidizi wa mbunge kagasheki
                                                   upendo kwaya wakitoa burudani
                  katibu wa ccm bukoba mjini Janati musa akiwa na ndugu Muganyizi zachwa wakifurahia
mwalimu lobozi katika swala zima la kuamasisha waumini na wageni waalikwa kuchangia mfuko wa watoto kwa ajili ya kuwasomesha
                                                         mgeni rasmi akitete  na ndugu yusuf
  ndugu ernest nyambo akiwa ananadi  DVD 3 kwa bei ya juu ili kutunisha mfuko wa watoto
                                                        ni mc akinogesha mambo
                                                 watoto walisimama  wakati  wakichangiwa
                                                 watu waliamasika kuchangia
mwenyekiti wa mtaa wa pwani  akimuwakilisha diwani wa kata ya miembeni na mtaa wake walichangia laki moja
                                                mwalimu subira akiamasisha
                          watoto walifurahia sana kilichokuwa kinafanyika ili wasome
Vicar general(msaidizi wa askofu) Elisha Bililiza akimshukuru mgeni rasmi kwa kufika na kuwaeleza waumini anavyomfahamu kwa ufupi balozi kagasheki
mgeni rasmi akitoa neno na kueleza jinsi alivyogusswa na nyimbo zilizomo kwenye albamu ya watoto (aliwaita malaika) na katika risala ya watoto walihitaji wapate kiasicha milioni kumi na tano watakapouza dvd zao na peas hiyo isaidie katika kulipa karo zao, ndipo  balozi kagasheki aliposema  nawapa shilingi milioni ishirini kwa sababu kitu hiki ni cha msingi sana katika maisha ya watoto hawa ambao miongoni mwao ni yatima na hawana uwezo wa kugharamikia karo ili waweze kusoma
                            DVD hii aliinunua kiasi cha laki sita kusaidia mfuko wa watoto
                          ndugu muganyizi zachwa alinunua dvd kwa laki mbili na nusu kuchangia mfuko wa watoto
                                ernest nyambo  nae alinunua dvd kwa laki mbili na nusu
                                                binti jackline mwimbaji mahili akieleza kitu

                                     Richard leo mkurugenzi wa redio kasibante nae alikuwepo

Baba askofu akimshukuru mgeni rasmi,alisema sikutegemea ulichofanya kwa watoto hawa , mungu akubariki sana

No comments:

Post a Comment