Ni barabara ya kyaka kuelekea karagwe omurushaka km 59.1 inayojengwa kwa kiwango cha lami
ujenzi wa barabara hii umeanza kwa kasi baada ya mvua zilizokuwa zikinyesha kupungua
ujenzi wa barabara ya kyaka ukiendelea,kampuni ya chico ndo inajenga barabara hii
ni baadhi ya caravat zinazowekwa kwa ajili ya kupitisha maji
wataalamu wakiendelea na vipimo
hakuna kulala,kazi kama kawaida
kazi inaendelea ujenzi wa barabara kyaka kuelekea karagwe omurushaka kiwango cha lami km 59.1
makao makuu ya kampuni ya wachina chico inayojenga barabara ya kiwango cha lami kyaka mpaka maeneo ya uzuri wa kondoo kama unaelekea karagwe
kampuni ya chico itakapokuwa imekamilisha ujenzi wa barabara itasaidia sana kurahisisha swala zima la usafiri na uchumi kwa ujumla katika jamii
Saturday, 25 May 2013
Friday, 24 May 2013
ULIWAHI KUSIKIA HABARI ZA MTO NGONO WILAYA YA MISSENYE BUKOBA VIJIJINI
Camera yetu mto ngono,mkondo wa maji unatoka mto kagera,tumekuta wakazi wa maeneo haya wakiendelea na shughuli za kawaida katika mto huo,wakazi wamaeneo haya hutumia maji ya mto huu kwa matumizi ya nyumbani,na uvuvi,lakini wafugaji huleta mifugo yao kwa ajili ya mifugo kama ngo'mbe kunywa maji japo kuna kibao cha kuzuia mifugo kutumia maji hayo
katika hali isiyo ya kawaida takribani zaidi ya mika kumi iliyopita kuna dereva wa gari la chama cha ushirika kcu ltd alipotea katika maeneo ya mto ngono,yasemekana alisimamisha gari kwa ajili ya kujisaidia naharejea kwenye gari ,hakuwahi kuonekana mpaka leo.
ni daraja la mto ngono
shughuli za uvuvi uendelea katika mto ngono,na mtu huyu anavua kwa kutumia chandarua
vijana wakiwajibika kuvua samaki mto ngono
camera yetu na wadau wakitokea maeneo ya mutukula ilibidi wasimame kidogo maeneo ya mto ngono, kapten mwasa na mdau haruna
maji ya mto ngono ni meusi sana
tatizo la maji maeneo ya vijijini bado ni tatizo kubwa, mama na mtoto walikutana na camera yetu mto ngono wakija kuchota maji ya matumizi ya nyumbani
jk blogger sikusita kupata picha kama kumbukumbu ya uwepo wangu katika eneo la mto ngono
mama akichota maji mto ngono,swali langu nini kifanyike kusaidia wakazi wa eneo hili kupata maji katika maeneo yao kusaidia akina mama na watoto kufuata maji kwa kwa mwendo mrefu
wadau wakiangalia mandhali ya mto ngono
samaki wanaopatikana mto ngono
bonge la pozz
kijana akiogelea mto ngono
bonge la picha mto ngono
ni kibao kinazuia mifugo kuletwa katika mto ngono kunywa maji

REDD'S MISS KARAGWE KUPATIKANA LEO,ISHA MASHAUZI KUTUMBUIZA
Maelfu ya wakazi wa karagwe na vitongoji vyake leo 25-5-2013 majila ya saa 2.00 usiku watashuhudia mpambano mkali wa kumpata redd's miss karagwe 2013,kwa mujibu wa maelezo ya muandaji ndugu pasco pk,mkurugenzi wapk studio amesema maandalizi yote kwa kiwango kikubwa yamekamilika na wanaimani kila kitu kitakuwa kama kilivyopangwa,akielezea mpango mzima wa burudani amesema isha mashauzi ,bk sande,jimama rose na wengine kibao wamejipanga kutoa burudani ya uhakika,warembo watatu wa nafasi za mwanzo watawakilisha wilaya ya karagwe katika mashindano ya mkoa redd's miss kagera 2013 yatakaofanyika 15-6-2013 katika ukumbi wa lina's.
muda mfupi baada ya pre judment iliyofanyika katika ukumbi wa tonya hotel karagwe
picha ya pamoja wakiwa na redd's miss kagera 2012 baby clara wennye blauz nyekundu na mratibu jamco
picha ya pamoja warembo wa wakiwa na mratibu wa mashindano mkoa wa kagera jamal kalumuna (jamco)

Thursday, 23 May 2013
HAMID ALLY MOHAMED NOORAN ANAETUHUMIWA KWA WIZI WA SHILINGI MILIONI 529.5 APATA DHAMANA .
mtuhumiwa wa wizi wa zaidi ya shilingi milioni 529.5 ndugu Hamid Ally mohamed Nooran amepewa dhamana baada ya kukamilisha masharti ya dhamana.
mtuhumiwa ana tuhumiwa kwa wizi wa fedha za mfanyabiashara wa miaka mingi manispaa ya bukoba,mmiliki wa kituo cha mafuta ABOOS na mwenyekiti wa shirika lisilo la serikali linalosaidia walemavu mkoa wa kagera IZAAS MEDICAL PROJECT mzee Raza fadhal
waandishi wa habari wakiwa kazini
mke wa mtuhumiwa akiwa anaficha uso wake
angalia jamcobk.blogspot.com kwa habari za uhakika

WAKALA WA KAMPUNI INAYOUZA MAFUTA YA KULA YA BUTTO WATOA ZAWADI YA T.SHIRT KWA AJILI YA KAMBI YA REDD'S MISS MULEBA 2013
Wakala wa kuuza mafuta ya kula ya fortune butto wametoa T.shirt kwa ajili warembo walioko kambini kwa ajili ya mazoezi yanayoendelea ili kumpata redd's miss muleba 2013 hapo tarehe 31-5-2013 ukumbi wa waisuka muleba,mbali na burudani zingine TID na DYANE NYANGE wataburudisha
ama kwa hakika warembo wameanza kuiva....
usikose miss muleba 31-5-2013
pozz.....
tumia mafuta ya kupikia ya ......
mazoezi yanaedelea kwa kasi kubwa
maswala ya kujifunza dance
hapo vipi........
REDD'S MISS MULEBA 31-5-2013 WAISUKA,KARIBUNI SANA

Subscribe to:
Posts (Atom)