Monday 20 May 2013

BREAKING NEWS....GARI AINA YA FUSO NUSURA LITUMBUKIE ZIWANI BANDARI YA BUKOBA MUDA HUU

 Wahenga walisema ukishangaa ya musa utastaajabu ya filauni, ndicho kilichotokea mida hii banndari ya bukoba, baada gari lililokuwa likipakia mchele kutoka katika meli ya mv victoria kijiwasha ghafla na kutembea kuelekea eneo la maji  na kufanyika jitihada za haraka kunusuru gali hili kama unanyoona




 kamba hii mpaka sasa ndio nusura ya gari hili kutumbukia ziwani,kamba hii imefungwa katika meli ya mv victoria kuzuia gari lisiingie majini, wakati zinafanyika jitihada za haraka kuinusuru,mmiliki wa gari hili ametambulika kwa jina moja mzee yasini

 ni maajabu gari kujiwasha,sasa,majibu anaweza kuwa nayo mtaalamu wa magari ,kwangu itakuwa ngumu sana
 ni gari aina ya fuso namba hizo
 mkuu wa bandari ya bukoba Erenest nyambo akishangaa ya musa na kustaajabu ya filauni kilichotokea katika eneo lake la kazi,gari kujiwasha lenyewe, ni hisoria katika kipindi chake cha utumishi hajapata kuona ila leo ameona
 anaonekana akifikiria jamani mungu hebu onyesha uwezo wako,gari la watulisidumbukia majini
 yasemekana huyu ndo mmiliki wa gari hili hakuwa tayari kuongea lolote,kamavile alikuwa  kupunic
jitihada zinafanyika kulinusuru gari hili ,na wakati tukienda hewani tumepigiwa simu kuwa gari limetolewa kwa kutumia winch ya ndugu sadru,pongezi kwa wote walioshiriki kuokoa gari hili.

1 comment:

  1. LILIKUWA LINATAKA LIKUMBUKWE NALO KWENYE KUMBU KUMBU YA LEO YA MV.BUKOBA.NI AJABU SANA.

    ReplyDelete