Saturday 25 May 2013

UJENZI WA BARABARA YA KYAKA MPAKA KARAGWE OMURUSHAKA KWA KIWANGO CHA LAMI KM 59.1 WAENDELEA VIZURI

 Ni barabara ya kyaka kuelekea karagwe omurushaka km 59.1 inayojengwa kwa kiwango cha lami

          ujenzi wa barabara hii umeanza kwa kasi baada ya mvua zilizokuwa zikinyesha kupungua
                 ujenzi wa barabara ya kyaka ukiendelea,kampuni ya chico ndo inajenga barabara hii
                                       ni baadhi ya caravat zinazowekwa kwa ajili ya kupitisha maji
                                                 wataalamu wakiendelea na vipimo

                                                      hakuna kulala,kazi kama kawaida
 kazi inaendelea ujenzi wa barabara kyaka kuelekea karagwe  omurushaka kiwango cha  lami km 59.1
 makao makuu ya kampuni ya wachina chico inayojenga barabara ya kiwango cha lami kyaka mpaka  maeneo ya uzuri wa kondoo kama unaelekea karagwe

kampuni ya chico itakapokuwa imekamilisha ujenzi wa barabara itasaidia sana kurahisisha swala zima la usafiri na uchumi kwa ujumla katika jamii

No comments:

Post a Comment