Sunday 18 August 2013

MBOWE, JOHN MNYIKA, TUNDU LISSU, WAPOKELEWA NA NYOMI YA WATU BUKOBA...WAWATAKA WATANZANIA KUJADILI RASIMU YA KATIBA NA KUTOA MAONI VYEMA

Helikopta maalum iliyowabeba viongozi wa CHADEMA akiwemo Mbunge wa Jimbo la Hai, Mh. Freeman Mbowe pamoja na Mbunge wa jimbo la Ubungo Mh. John Mnyika, Tundu Lissu walipowasili eneo la Uhuru Platform Mkoa wa Kagera kufanya mkutano wa hadhara mjini Bukoba
Helikopta maalum iliyowabeba viongozi wa CHADEMA juu ikiangalia jinsi ya kutua sehemu ya Viunga ya uwanja wa Mayunga, (Uhuru Platform).Helikopta maalum iliyowabeba viongozi wa CHADEMA juu ikiangalia jinsi ya kutua sehemu ya Viunga ya uwanja wa Mayunga, Uhuru Platform. Na hapa wananchi wakiiangalia juu ikitaka kutua.
Helikopta maalum iliyowabeba viongozi wa CHADEMA akiwemo Mbunge wa Jimbo la Hai, Mh. Freeman Mbowe pamoja na Mbunge wa jimbo la Ubungo Mh. John Mnyika, Tundu Lissu walipowasili eneo la Uhuru Platform Mkoa wa Kagera kufanya mkutano wa hadhara mjini Bukoba
Helikopta maalum iliyowabeba viongozi wa CHADEMA ikitua chini na hapa wanafunguliwa mlango kutoka nje tayari kufanya mkutano wao ambao ni mwendelezo wa mikutano yao kanda ya ziwa swala zima Kutoa maoni katiba mpyaMajembe ya Chadema na mbele ni Mh.Mbunge wa Jimbo la Hai, Mh. Freeman Mbowe akiwapungia wananchi mkono
Viongozi wa Chadema waliotua punde wakielekea jukwaa kuu
Helikopta maalum iliyowabeba viongozi wa CHADEMA
Mbunge wa Jimbo la Hai, Mh. Freeman Mbowe pamoja na Mbunge wa jimbo la Ubungo Mh. John Mnyika, Tundu Lissu walipowasili eneo la Uhuru Platform Mkoa wa Kagera kufanya mkutano wa hadhara mjini Bukobaw (Picha na habari Faustine Ruta, bukobasports.com)
Furaha za wadau wao wakakutana nazo njiani wakisonga jukwaa kuu...
Mbunge wa Jimbo la Hai, Mh. Freeman Mbowe pamoja na Mbunge wa jimbo la Ubungo Mh. John Mnyika
Mh. Freeman Mbowe kulia na kushoto ni Mh.Tundu Lissu



Viongozi mbalimbali wa Chadema
Diwani wa Chadema (Rwamishenye) Bukoba
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akijiweka sawa kabla ya kuongea na wananchi.
Mbunge wa Singida Mashariki-Chadema Tundu Lissu
Mbunge wa Jimbo la Hai, Mh. Freeman Mbowe pamoja na Mbunge wa jimbo la Ubungo Mh. John Mnyika
Umati wa watu uliokusanyika kwenye viwanja vya Uhuru platform


Mwenyekiti wa Chama cha Domekrasia na maendeleo (CHADEMA) Mh.FREEMAN MBOWE amewataka Watanzania kujitokeza kwa wingi kujadili Rasimu ya Katiba mpya ili ipatikane Katiba itakayokidhi haja ya Watanzania.
Amesema hayo alipokuwa akiwahutubia wakazi wa Bukoba mkoani Kagera alipokuwa kwenye ziara ya kichama kuhamasisha wanachama wa chama hicho kuunga mkono kuwepo na Serikali tatu ndani ya Jumuiya ya Muungano wa Tanzania.


Mbunge wa Singida Mashariki-Chadema Tundu Lissu Aunguruma Mbele ya Mamia ya Wafuasi wa Chadema Bukoba.
Nyomi ya watu.

No comments:

Post a Comment