Monday, 19 August 2013

UMOJA WA WANAWAKE BANDARI YA BUKOBA (WAFANYABIASHARA YA NDIZI MBIVU KUPELEKA MWANZA) WA WAMSHUKURU BALOZI KAGASHEKI

Mbunge wa jimbo la bukoba mjini na waziri wa maliasili na utalii balozi khamis kagasheki akiongea na wamama wajasiriamali bandari ya bukoba
                                  wamam,a wa umoja wa bandari ya bukoba wakimsikiliza mgeni rasmi
mkuu wa bandari ya bukoba Ernest Nyambo akiwa na mgeni rasmi balozi kagasheki kwenye hafla fupi ya wanaumoja wanawake wa bandarini bukoba
                                      balozi kagasheki akicheza na wamama wa bandari ya bukoba wafanyabiashara wa ndizi mbivu
                                          mambo ya saida karoli usipimee
                                                              katibu wa kikundi akiongea
        mkuu wa bandari akimueleza mgeni rasmi jinsi wa mama wanavyofanya biashara yao
                                                               katibu akisoma risala
                                                            mgeni rasmi akipokea risara
mgeni rasmi balozi kagasheki akipokea zawadi ya mbuzi na kitambaa cha suti kutoka kwa wamama kama ishara ya shukurani zao kwa kutambua jitihada alizofanya ili wasonge mbele
                                                                      huyu wangu...
balozi kagasheki akiongea na wanaumoja, aliwalipia ada ya pango kwa ajili ya ofisi yao kwa mwaka mzima shilingi laki sita na aliwawapa shilingi milioni mbili  kuongeza mtaji kwa ajili ya biashara yao
                                                   wamama wa bandarini wakimsikiliza mgeni rasmi
                                      wamama wakifurahia msaada waliopewa na mgeni rasmi
                                                               picha ya pamoja na mgeni rasmi
                                                                            ni furaha
                                                        balozi kagasheki akiteta na viongozi wa kikundi

No comments:

Post a Comment