Tuesday 20 August 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA KENYA NCHINI TANZANIA, IKULU DAR


  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimina na Balozi wa Kenye nchini Tanzania, Mutiso Mutinda, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 20, 2013 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Kenya nchini Tanzania aliyemaliza muda wake, Mutiso Mutinda, wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 20, 2013 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Kenya nchini Tanzania aliyemaliza muda wake, Mutiso Mutinda, wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 20, 2013 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. Kushoto ni Kaimu Balozi wa Kenya, Peter Sang.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Kenya nchini Tanzania aliyemaliza muda wake, Mutiso Mutinda, aliyeongozana na ujumbe wake wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 20, 2013 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano  wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea Kitabu cha Kamusi ya Kiswahili, kutoka kwa balozi wa Kenya nchini Tanzania aliyemaliza muda wake, Mutiso Mutinda, wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 20, 2013 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. Kushoto ni Kaimu Balozi wa Kenya, Peter Sang. Kitabu hicho kimetungwa na Balozi huyo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Kenya nchini Tanzania, aliyemaliza muda wake, Mutiso Mutinda, na ujumbe wake baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo. Balozi huyo alifika kwa ajili ya kumuaga Makamu baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL APOKEA HATI IDHINI YA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA NELSON MANDERA CHA ARUSHA

 Rais Jakaya Kikwete, akimkabidhi Hati Idhini ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Nelson Mandera, Makamu wake, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, ambaye ni Mkuu wa Chuo hicho, wakati wa hafla ya kuvitunuku Hati Idhini Vyuo Vikuu Vishiriki nane vya nchini vilivyotimiza vigezo. Hafla hiyo ilifanyika kwenye Viwanja wa Ikulu jijini Dar es Salaam leo, Agosti 20, 2013
 Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, ambaye ni Mkuu wa Chuo cha Nelson Mandera, akimkabidhi Hati Idhini ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Nelson Mandera, Makamu wake, Prof. Burton Mwamila, wakati wa hafla ya kuvitunuku Hati Idhini Vyuo Vikuu Vishiriki nane vya nchini vilivyotimiza vigezo. Hafla hiyo ilifanyika kwenye Viwanja wa Ikulu jijini Dar es Salaam leo, Agosti 20, 2013. Katikati ni Rais Jakaya Kikwete, akishuhudia
                                            Picha ya pamoja baada ya makabidhiano hayo
 Rais Jakaya Kikwete, akihutubia baada ya kutunuku Hati Idhini kwa Vyuo Vikuu Vishiriki nane vya nchini vilivyotimiza vigezo, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam
 Rais Jakaya Kikwete, akihutubia baada ya kutunuku Hati Idhini kwa Vyuo Vikuu Vishiriki nane vya nchini vilivyotimiza vigezo, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam
 icha ya pamoja kwa kumbukumbu baada ya shughuli ya kutunuku Hati Idhini kwa Vyuo Vikuu Vishiriki nane vya nchini vilivyotimiza vigezo, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaa

No comments:

Post a Comment