Monday 31 July 2017

USIKU WA KUMUAGA BI JALIA MNYONGE KATIKA UKUMBI WA LINAS BUKOBA

 Shangwe,nderemo, vigelegele vilisikika katika ukumbi wa Linas wakati wa kumuaga Bi Jalia Mnyonge ambae ameamua kwa dhati kuachana na maisha ya upweke .watu walijitokeza kwa wingi wakiwa wamependeza kwa kuvalia mavazi mazuri na ya kupendeza,Angalia matukio mwenyewe.

Jamcobukoba.logspot.com inawatakia maisha mema ya ndoa Bi Jalia na mmeo.katika picha kushoto ni Bi Jalia akiwa na dada yake Achi.